gari

  1. W

    Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

    Aina ya Gari ni Toyota Premio Body uya gari ipo fresh kabisa Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa. Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
  2. Dereva wa gari la CHADEMA adakwa kwa kusababisha ajali Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro. Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
  3. Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  4. W

    Tatizo la gari kukita wakati wa kubadili gear

    Habari wakuu. Naomba ushauri kwa wenye utaalamu na gearbox za automatic. SIku za karibuni nimepata changamoto na gari yangu Toyota Vanguard kwenye upande wa transmission. Wakati wa kubadili gear au nikipunguza mwendo sana gari inakita, nimebadili mounting mbili lakin tatizo bado halijaisha...
  5. Mimi ni dereva wa UBER, bolt, farasi natafuta gari ya hesabu

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
  6. L

    Kusajili gari lenye spare parts za kuunga unga

    Wakuu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nilinunua body ya gari x , nikaunga unga na spare parts tofauti (engine , gear box nk) tena hadi gari ikasimama vizuri sana. Changamoto ni kwenye usajili sijui nanzia wapi.
  7. Picha Ajali: Wasiofahamika wateketea kwa moto katika ajali Mufindi, gari zimeisha kabisa yamebaki majivu

    Watu wasiofahamika Wamefariki Dunia kwa kuteketea kwa moto na kubakia majivu baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto na kuteketea na kusababisha vifo hivyo. Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi katika eneo la tukio Mei 29,2025 Mkuu wa wa Polisi Wilaya ya Mufindi SSP...
  8. Gari zuri kati ya NISSAN X TRAIL na SUBARU FORESTER

    Wakuu salaam. Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato...
  9. M

    Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    Habar wakuu nimekuja kwenu mnishauri nataka kununua gari lakini mim nimtu wa safari ndefu,dar kigoma,dar mwanza,dar mbeya,,gari ipi itanifaa kwa safar ndefu budget 25-35m NB ni iwe family car
  10. M

    Taratibu Jinsi ya kubadili matumizi card ya Gari toka Private to Busness

    Habari wadau, naomba kupata kujua taratibu za kufuata jinsi ya kubadili matumizi ya Gari Toma private kwenda busness, je Una an za na utaratibu upi kwanza, na je Gharama huwa kiasi gani. Shukrani.
  11. Honda N-Box: Wajapan huwaambii kitu kwenye hii gari!

    Beauty is in the eye of the beholder! Honda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla. Ni kagari flani ata kukaelezea ni ngumu labda ukaone tu mwenyewe. Engine yake ndogo balaa, cc 650, CVT transmission na power output ya 62 hp...
  12. Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  13. M

    Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari Jerry spare parts and services

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
  14. A

    Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
  15. Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

    Wakuu habari za weekend? Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
  16. Dereva natafuta gari

    Habari naitwa Iman nipo Dodoma natafuta gari la kufanyia kazi bolt, nina uzoefu WA kutosha zaidi ya miaka minne. Kwa Dodoma hesabu yetu waga ni 150,000 kwa wiki na kwa magar ya mkataba waga ni 200,000 kwa wiki naomba mwenye gar anisaidie. Mawasiliano yangu ni 0695276900 asante
  17. VIongozi wa Ulaya waenda Kyiv kwa gari moshi kuiomba Urusi isitishe Vita na Ukraine

    Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya. Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
  18. Gari ya mikosi, njooni mnisaidie

    Habari wadau? Kuna notion kwamba unaweza kununua gari kwa mtu yaani second hand inaweza kuwa imebeba laana au mikosi au mabalaa. Ipo hivi mwaka huu nimenunua gari ni kama mwenye gari yeye hajatembelea sana ila cha kushanganza toka ninunue hii gari nilishapata nayo ajali like 4 times. Ajali ya...
  19. M

    Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  20. M

    Ruvuma: TRA yataifisha gari Na kumkabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…