gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya tukio gani la kukumbuka katika mahusiano

    Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine. Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
  2. JamiiForums Tanzania Kuku na ndege wengine wanatumia hisia gani kutambua maji?

    Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao. Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent ambao ni muonekano yalionayo maji(pure water). Je ndege wanatambuaje kwamba ulichowatengea mbele yao...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  4. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe na Nyeupe ya Simba: Yanga Inapeleka Ujumbe Gani?

    Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Wakati rangi nyeupe ni kawaida kwa jezi za ugenini za Simba, uamuzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni 8/8 Sikukuu ya Wakulima Tanzania, una ujumbe gani kwa Wakulima?

    Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo? Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ulinzi shirikishi mwisho muda gani? Mbona bado tunashambuliwa na vishandu?

    Yaaan unaamka na watoto kupeleka shule unakutana na pikipiki zinakimbilia kwenye lami kumbe kalizwa mtu. Leo sicheki kwa mazuri na shule iko Goba kwa ndani kidogo Nashuka niko njia ya rafu nikakuta wanafunzi wa Lugalo nikawambia twende maeneo ya shule niwaombee lift magari yanayokwenda kubeba...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya Makeup inahitaji vitu gani vya Msingi?

    Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa. 1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu. 2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu? Mimi ndo kwanza naingia sokoni kuanza hiyo Biashara.
  10. JamiiForums Tanzania Ukimtazama huyu amefanana na kocha gani hapa Tanzania?

  11. J

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinawafanya vijana wasishiriki masuala ya kisiasa

    Habari wana jamvi naomba kuuliza swali hili kwenu tupate majibu sahihi Kuna wimbi kubwa la vijana ambao hawajihusishi kabisa na masuala ya siasa unahisi sababu ni zipi na Nini kifanyike?
  12. JamiiForums Tanzania Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk. Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna...
  13. JamiiForums Tanzania Unatamani kufa ukiwa na hali gani?

    Unatamani kufa ukiwa Mzee hujiwezi kwa lolote, au unatamani kufa ukiwa na nguvu zako?
  14. JamiiForums Tanzania Je, Utaratibu wa NSSF wa Death Grant ni wa Haki? Na je, una mazuri na mapungufU gani? Mjadala Wazi

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeweka utaratibu wa kutoa "Death Grant" kwa warithi wa wastaafu waliofariki. Kulingana na sheria iliyopo, malipo haya yanatolewa kwa mke/mume wa marehemu pamoja na watoto walio chini ya umri wa miaka 18 au wale walio chini ya miaka 21 wakiwa kwenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani?

    Habar wakuu nauliza kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani. Vipi kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani?
  16. JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi: Unachukua hatua gani za kiusalama kumlinda mtoto wako dhidi ya vitendo vya kiunyanyasaji wa kingono?

    Habari! Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi). Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao...
  17. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

    Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku. Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania. Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni Viashiria gani ukiviona kwa mtu ujua hakupatiwa malezi mazuri?

    Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza kutuangalia sisi. Ikabidi niingilie kati kumuomba yule kaka arudishe vipashwe moto kwa sauti ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani niweze kutoboa kimaisha kiwepesi zaidi

    Habari za mchana Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au nane serikalini niweze kujenga hata nyumba mbili na kagari hata kamoja then niachane na iyo kazi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…