gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyuo gani vya Nje ya Tanzania ni vizuri kwa Kozi ya Afya?

    Wakuu Habari zenu, Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri. Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia. Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado sijajua chuo na nchi ipi nzuri.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni WhatsApp leo inashida gani?

    Hello my friend's Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini? Nimejaribu kuupdate ila bado
  3. JamiiForums Tanzania Kitu gani unatamani ukifute maishani moja kwa moja?

    Wakuu kwenye haya maisha kuna vitu vingi unavyotamani visiwepo kabisa kwa namna moja au nyingine. Kwangu mimi natamani nifute magonjwa,umaskini,ajali yani visiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.🤭 Je,ni kitu/vitu gani unatamani ukifute kwenye haya maisha kisiwepo moja kwa moja?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kati ya Makonda na Mchengerwa?

    Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ? Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa. Kikawaida ? , Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa Makonda. Mchengerwa hana mandate juu ya mkuu wa Mkoa, RC ni presidential appointment na Waziri ni...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dawa gani hii?

    Habari zenu, nimepewa hii kitu ni kaambiwa unatoa mikosi yote, naomba anayejua kweli na matumizi yake, mzizimkavu popots ulipo na mshana Jr please
  6. JamiiForums Tanzania Lissu aseme pia pesa alizotaka kupewa aliambiwa ni za nini au kwa lengo gani?

    Kwa sababu Lissu amekuwa anafunguka sana kwa vyombo vya habari na ameamua kuweka wazi mambo yote ndani ya CHADEMA waandishi wa habari sasa wamuulize Lissu pesa zinazosemewa alililetwa na Abdul ambazo anaambiwa wengine walizichukua waliambiwa ni za nini. Ili story ikamalike na iweze kuunganika...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

    Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda? https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

    Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana. Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki). M. Thread...
  9. JamiiForums Tanzania NI sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?

    Wakuu. Nitakuwa Dodoma Kesho. Napenda kuogelea. Ni sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Subaru Impreza new model kuanzia 2012 huuzwa mapema baada ya kununuliwa ! Zinachangamoto Gani ? Mwenye ujuzi atujuze tafadhali

    Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
  11. JamiiForums Tanzania HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA ILETWE ?

    WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
  12. JamiiForums Tanzania nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

    nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini? Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
  13. R

    JamiiForums Tanzania Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kitaifa chadema unadhihirisha jinsi gani wana chadema na watanzania wengine wasivyotamani kuona ukoloni mambo leo ukirejea Tanzania

    Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa. Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

    Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini? Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
  16. JamiiForums Tanzania Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

    Wakuu habari za humu ndani. Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu. Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa) Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Umri gani ulianza kumruhusu "dogo" aendeshe ndinga ya nyumbani?

    Wa vitabuni unajulikana ni miaka 18 huo unafahamika. Wewe ulimwanzishia akiwa umri gani?
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

    Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani. Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe. Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu? ---- Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wanywaji wa Maji ni Maji Gani!? Yana radha nzuri kwa mwaka 2024

    Mimi Kilimanjaro miaka na miaka 😁 tililika na wewe mwanawane😉
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…