gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya La Liga kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
  2. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani litatokea asubuhi Kanisani kwa Askofu Gwajima ?

    Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa. Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu" Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
  3. JamiiForums Tanzania Yezebeli alikuwa Mwanamke wa aina Gani? Mwisho wake ulikuwaje?

    Mnaojua tuelewesheni sisi maponjoro.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Just for curiosity, inafuata zamu ya kanisa gani kufungiwa?

    Katoliki wamekuwa vocal, though at a low profile. Lakini kitenda cha kumdhuru Fr. Kitima ni hatua moja kuelekea kulifungia Katoliki!
  5. JamiiForums Tanzania Vigezo vinavyotumiwa kupima uchumi wa nchi na kuona kama uchumi umekua au lah!

    Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
  8. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere alikuwa anafundisha masomo gani??

    Tafadhali rejea kichwa cha "thread" hapo juu.
  9. JamiiForums Tanzania Kisa gani cha mapenzi ambacho kila ukikikumbuka unachukia?

    Habari za week end wapendwa. Katika ulimwengu wa mapenzi na mahusiano kuna visa kadhaa tumevifanya ambavyo huwa baadae tunajiona kuwa tulifanya ujinga. Kuna mkoa mmoja nilihamia na nikabahatika kukutana na watoto warembo sana ambao ni mtu na mdogo wake. Nikatokea kuvutiea sana na mdogo mtu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

    Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
  11. T

    JamiiForums Tanzania CRDB kuna changamoto gani?

    Wadau mlipo kwa hii benki tusaidieni. Wikend hii mambo hayaendi. Naona kama huduma haziendi. Tusifelishane tafadhari.
  12. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu mpya ya CCM ina maana gani?

    Maana ya kazi nimeelewa , ila UTU ndio sijaelewa.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndani🤔

    Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄 Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk.. Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza... Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa.. NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu...
  14. JamiiForums Tanzania Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

    Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa. Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni...
  15. JamiiForums Tanzania Unadhani ungekuwa jinsia tofauti ungekuwa na tabia gani?

    Sometimes to understand others peoples point of view, you have to internalize theirs and then judging them accordingly. kwa mfao we mwanaume ungekua mwanamke, je? usingeomba hela? ungetulia na mwanaume mmoja? ungemvumilia mwanaume asiye na pesa kisha ana gubu? ungemsubiri mtu ambae amefungwa...
  16. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kufanya transfer (kubadili jina la chombo cha moto) pikipiki?

    Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka kumaliza, ila baada ya kumaliza wanasema kuna process mbili, Moja ni Kuhakiki Miamala (Yaani kuomba bank...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa huwa anatumia muda gani kuandika mistari yake sio kwa ufikirishi huu

    Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada. Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi. Huo ni ugonjwa jamani kama magonjwa mengine alisema mwalimu, Mwenyekiti alifoka na kumwambia kaa...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  19. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Q Chief, Wiper Ulifanywa na producer Gani?

    Nilikuwa na sikiliza kazi moja ya miaka hiyo kutoka kwa q chief, Wiper nataka kujua Beat Ilifanywa na nani! TZ Vipaji ni vingi sana!! Daah!!
  20. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa UG na Kenya walifanya vurugu gani?

    Kwa ufupi sana Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya. Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…