gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Tukielekea kufunga mwaka, ni matukio gani ambayo yametokea mwaka 2025 hayawezi kufutika kwenye kumbukumbu zako?

    Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026. Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
  2. 'Sheikh ubwabwa' ni mtu wa aina gani?

    Naomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
  3. M

    Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

    Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili. Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani...
  4. CCM walisema Samia hana deni, Sasa atafanya kazi gani?

    Luhaga mpina aliposema kuwa watu wa Kisesa bado wanamdai Samia Suluhu Hassan maendeleo, baadhi ya wana CCM walilipuka kwa hasira mithili ya Volkano. Kama wana CCM waliamini kuwa Samia Suluhu Hassan Hana deni la kuleta maendeleo Kwa watanzania nchi nzima, Kwa miaka mitano hijayo akiwa Rais ...
  5. PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

    Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
  6. M

    Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  7. Hivi mkeo anapokuambia usimwagie ndani anakua na maana gani haswa?

    Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa. Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani. Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..? Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu. Eti wakuu ina maana gani hiyo?
  8. Itachukua muda kiasi gani binadamu kufikia ustaarabu wa asilimia mia moja!

    Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!. iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!. Naghafirika sana pale napoona...
  9. N

    Ni bidhaa gani Tanzania zina msamaha wa kodi ukitaka kuagiza kutoka nje ya nchi?

    Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana. Naomba wakuu mnisaidie hili. Nawasilisha "Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
  10. PostGE2025 Wasanii sijui watumie njia gani kujirudi kwa wananchi. Wanajikuta wanaua tasnia kwa karanga za kuonjeshwa

    Wakuu! Wasanii tuwasamee au tuendelee kushikilia hapohapo mpaka kieleweke?
  11. PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  12. PostGE2025 Kanisa Katoliki lipo tangu Karne ya 4, huyu Mama ana jipya gani kulitisha?

    Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee. Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee. Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao. Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu...
  13. PostGE2025 Kitendo cha watu kuwa mobilized kuandamana na wakakubali hii inaonesha ni kwa namna gani Samia hakubaliki

    Msimfiche najua hata yeye anajua hili. Tanzania asilimia kubwa ya wananchi wana maisha ya chini ukiona watu wengi wanakupinga basi jua ndio hao na ina maanisha hakuna kitu unafanya kwao. Mimi frankly speaking sikua nakubaliana na Magufuli kwa mambo ya kidemokrasia Narudia ni Mimi Binafsi Ila...
  14. Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  15. F

    Ikulu ilikuwa Madrassa zamani hizo, Ndiyo kuna shida gani? It is not making sense, Waziri huyo na baba yake huwa siwaelewagi. Wapo kwa shari shari tu.

    Huyo aliyesema kuwa ikulu ilikuwa madrassa zamani mara baada ya kujengwa na wajerumani. Kama waingereza walitumia kuwapo watu kufundishia watoto "Ilim Duniya na Ilim Akhera" kuna shida gani? Hiyo ni historia ya nchi yetu....Siyo jambo la ajabu! Waingereza waliitoa nyumba ya Governor kufundishia...
  16. Kuna Media inakumbushia yaliyowahi tokea Zanzibar. Ina maana gani?

    Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi. Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa na wale waliohukumiwa kifo mbele ya wananchi. Maandamano ya kupinga uchaguzi kipindi cha mkapa...
  17. Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

    Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye. Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu. Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye. Kule igumelo kahama...
  18. Kwani mashekhee mnasimama upande gani?

    Kufuatia muendelezo wa taharuki ya kisiasa nchini, makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo serikali yamejitokeza na kuonyesha misimamo Yao Serikali wao wamesema wanataka amani, wananchi pamoja na maaskofu wote wanasimaa upende wa Haki. Lakini mashekhee nyinyi humueleweki kama mnataka HAKI, AMANI...
  19. PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  20. DOKEZO Redio zilitangaza umbeya muda mwingi kulenga Wanawake walio nyumbani, sasa hivi ni Mpira tu, je Wanaume ndio wapo nyumbani au hawana kazi?

    Habari za muda huu wadau, Leo nilikuwa na safari fulani hivyo ikanibidi kupanda daladala kwa umbali mrefu kidogo, Kutoka tegeta mpaka Mbagala. Baada ya kupanda daladala nikiri kwamba nimeshuhudia na kujifunza mambo mengi sana, Kwanzia msongamano, Kugombania na pia kukutana na watu mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…