gaming

  1. B

    ASUS TUF GAMING PC INAUZWA 1.7M

    ASUS TUF GAMING A15 CPU………AMD Rayzen 74800H GPU………GTX 1650Ti. 4GB RAM…….. 16GB DDR 4 ROM……..512 NvMe SSD DISPLAY…..144 hz refresh rate RGB KEYBOARD FULL Kwa mawasiliano 0612630936 price ya hii pc 1.7M
  2. Official jr

    GAMING PC FOR SALE

    GAMING PC MOTHERBOARD: CVN B460 GAMING FROZEN CORE i5 -10500 12 CPUs (10th GENERATION ) RTX 2060 6GB 16GB RAM (DDR4) 4 Slots 120GB SSD 500GB HDD 520Watt Antec PSU NZXT CASE ORIGINAL LENOVO CONTROLLER GAMES: FC 25 COD MODERN WARFARE II UNCHARTED COLLECTION GTA COLLECTION PRICE: 1.3m...
  3. Joachim Mabula

    KERO Malalamiko kwa Gaming Board of Tanzania Kushindwa Kisimamia Sheria!

    Ninawasilisha andiko hili kwa nia ya kuonesha kukatishwa tamaa kutokana na uzembe wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania) katika kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa sheria na kanuni zinazoongoza sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Kwa mujibu wa Kifungu cha...
  4. K

    Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  5. K

    Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii. 1...
  6. K

    Hivi gaming board wameita watu kazini?

    Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
  7. Isenye

    Gaming board mko vizuri lakini maswali yenu ni magumu mno na panel yenu ina watu wengi afu makauzu

    Leo tumepiga oral pale gaming board. Jamaa wako vizuri,interview ilikua iko organized vizuri tu kwa kweli. Kimbembe ni maswali yao ni magumu sio poa, panelist walikua 10 afu makauzu hawacheck na kima.
  8. Isenye

    Nimeitwa oral interview Gaming board of Tanzania

    Mko poa wapambanaji wenzangu? Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii. Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi. Kaeni karibu na simu zenu. Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa...
  9. K

    Ni kama vile Gaming board wanataka kuchakachua matokeo ya written interview

    Wakuu,tusaidiane kupaza sauti,hawa gaming board kuna uhuni nadhani wanataka kuufanya, Tumefanya interview ya kuandika week tatu zimepita,hawajatoa majibu mpaka leo,number ya candidates hata haikua kubwa kiasi cha kusema bado wanasahihisha hadi leo,utumushi tumefanya juzi interview watu...
  10. Newcastle1234

    Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi. Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
  11. Isenye

    Kuitwa interview Gaming board of Tanzania.

    Habari wapambanaji wenzangu. Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari. Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga. Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
  12. Joseph 44

    Naomba Mnisaidie Kujuzwa Kuhusu Gaming Pc Yenye Graphic Card Ya Gtx 1650 4 Gb

    Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX 1650 4 GB sasa nilikuwa nauliza hii gaming pc inaweza kucheza magame ya ps5 Maana hamu yangu ni...
  13. Jay_255

    Gaming PC hii hapa

    sold
  14. Jay_255

    Gaming pc naiuza kwa bei ya Januari

    sold
  15. W

    Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo Euro Truck Simulator 2 MINIMUM: OS: Windows 10 64-bit Processor: Intel Core...
  16. P

    Usaili Gaming Board Tanzania

    Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
  17. Cecil J

    Gaming PCs zunaweza kutumika kwa matumizi mengine kama kutumia software ya Photoshop?

    Swali langu lipo juu ya kichwa cha thread.
  18. Brave_Idiot

    Gaming Community

    Nahitaji nitengeneze Gaming community, nani anaingiza pesa kupitia Gaming? And how? Binafsi naingiza kwa kuuza tz mod games, zinapendwa Hatari!
  19. Jay_255

    Computer4Sale Gaming pc inauzwa ni machine haswaa

    SOLD
  20. chris emex

    GAMING PC HP PAVILION 15 250,000

    Operating system: windows* 11 pro processor: intel(r) core(tm) i5-7200u cpu 2.50ghz processor speed: intel(r) hd graphics 620+nvidia 940mx 4gb RAM 12GB
Back
Top Bottom