gaidi

Dhullu Gaidi is a village development committee in Baglung District in the Dhaulagiri Zone of central Nepal.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe siyo gaidi kwenye mawe, kuta na majengo inatufundisha nini?

    Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa, walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali...
  2. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  3. JamiiForums Tanzania Huyu sio gaidi natamani litambulike hilo

  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini Mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili?

    Kwema wakuu? Hivi Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini mahakaman kujibu tuhuma za ugaidi zinazomkabili?
  5. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Gaidi Nambari Moja likihutubia taifa mbele ya Rais

    Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami" Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi
  6. JamiiForums Tanzania Paul Makonda alivamia Clouds TV na silaha za kivita hakuitwa gaidi

    Wadau nadhani tunakumbuka tukio la uvamizi wa kituo cha televisheni cha Couds, Mikocheni jijini DSM uliofanywa na Paulo Makonda. Je, huu haukuwa ugaidi? Mbona hatukuona polisi kumkamata na kumfungulia mashtaka ya ugaidi au ugaidi ni kwa wanaodai Katiba Mpya? Sent from my SM-J600F using...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…