gaidi

Dhullu Gaidi is a village development committee in Baglung District in the Dhaulagiri Zone of central Nepal.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

    Ndege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

    Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi. Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina. Mimi mkatoliki mwaminifu.
  3. JamiiForums Tanzania Gaidi lililokua na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu lafanya ugaidi Marekani

    Gaidi lenyewe linaitwa Shamsud-Din Jabbar limegonga watu na gari huku likiwa na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu, na humo kwenye gari kulikua na mabomu na silaha zingine. Aisei Marekani wavune tu walichokipanda kwa kuruhusu haya mazombi yahamie huko na kuanza kuzaliana. Mimi kwa kweli hata...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2 Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
  5. JamiiForums Tanzania Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri

    Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
  6. B

    JamiiForums Tanzania 70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

    Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia. Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi: Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

    aisee mazee dah Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Askari aliyeua kwa risasi raia wanaoandana kwa Amani namwita gaidi

    Wasalaam Askari polisi aliyeenda chuo akasoma akaelewa ukakamavu anawezaje kufyatua risasi ya moto na kumpiga mwandamanaji Mtanzania aliyebeba bango? Askari ameapa kulinda raia na mali zao, Je kuwapiga risasi ya vichwa Watanganyika hawa wa simiyu ni haki? Huyo askari ni gaidi, akamate...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

    From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana. Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa. Kuna possibilities zifuatazo yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu Mossad wana teknolojia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Daktari gaidi aliyeuawa na Israel

    Huyu daktari alipouawa mlipiga makelele kwamba IDF inaua hadi madakatari, mkaambiwa ni ligaidi la kiislamu hamkutaka kuamini haya picha zimeanza kujitokeza lilivyokuwa limekubuhu, ifahamike kwenye ugaidi wa kiislamu huwa hamna cha msomi wala nini, wote lao moja, piga tu. =====================...
  13. JamiiForums Tanzania Ahmed Hassan Salame, gaidi lililoongoza mashambulizi ya Oct 7 dhidi ya Israel, lauawa

    Hakuna anayesazwa, wote lazima wakatafune mabikira kuleeee. IDF and Shin Bet intelligence led to the elimination of Hamas terrorist Ahmed Hassan Salame Alsauarka in a targeted airstrike, with no civilian casualties. Operating on intelligence provided by the IDF and Shin Bet (Israel Security...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Gaidi la Jihad lalaumu shetani kwa kulifanya livamie Israel na kubaka mwanamke kwa dakika moja

    Hili gaidi la kiislamu limeamua kufunguka yote baada ya kukamatwa.... Pressed how long the rape lasted, Islamic Jihad terrorist Manar Mahmoud Muhammad Qasem said around 60-90 seconds. The IDF on Thursday put out a video of a Unit 504 interrogation of an Islamic Jihad terrorist named Manar...
  15. JamiiForums Tanzania Kisu kilichotumika kumkata sikio Gaidi aliyehusika na mauaji yaliyotokea Moscow kimeuzwa kama njugu

    Raia wa Urusi wamenunua kwa fujo kisu kilichomkata sikio Gaidi la Ukraine na Marekani.. Russia 🇷🇺🚨‼️ The model that was used to cut the ear, was instantly sold out. “Not in stock” all shops say.
  16. JamiiForums Tanzania Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

    Limetetemeka kweli kweli na kufunguka yote, sijawahi kuelewa mawazo ya hawa watu na haya maugaidi ya kwenye dini yao.................... This is the moment the gunmen suspected of carrying out an attack on a concert hall in Moscow are arrested by Russian authorities. Videos shared online...
  17. JamiiForums Tanzania Gaidi la HAMAS lajaribu kutijoa uhai kwenye gereza Israel

    Magaidi yaliyokamatwa lazima yapata cha moto na show kali kali hadi hili liliamua kujitoa uhai likawahi mabikira.... Hamas Nukhba terrorist who took part in the October 7 massacre attempted to end his own life in an Israeli prison, Israeli media reported on Thursday afternoon. The terrorist...
  18. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Aljazeera ambaye pia ni gaidi la HAMAS

    Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa dini, ukishajiunga kwenye uzombi wa ile dini yaani wewe na ugaidi mnakua kama pete na chanda...
  19. JamiiForums Tanzania Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥 Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Robert Card, askari wa akiba US kaua watu 22 lakini haitwi Gaidi

    Wanaukumbi. Takriban watu 22 wameuawa kwa kupigwa risasi huko Lewiston, Maine na watu 50-60 kujeruhiwa katika maeneo mawili tofauti: uchochoro wa mpira wa miguu na baa. Robert Card, askari wa akiba mwenye umri wa miaka 40 na mwalimu wa silaha kutoka Bowdoin, ametajwa na polisi kama 'mtu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…