Aliyekuwa Naibu wa Rais wa Kenya, Rigath Gachagua ameendelea kumkabia kooni Rais Ruto kwa kuendelea kumshambulisha kutokea kila upande. Riggy anamtuhumu Ruto kwa ufisadi uliokithiri nchini Kenya huku akihoji anataka kuiba ngapi ndiyo aridhike?
Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua anasema Kenya si Tanzania au Uganda na kamwe hatazima azma yake ya kuwania urais. Ameongeza kuwa viongozi wa Afrika Mashariki wameambukizana tabia mbaya, na Ruto anaonekana anaiga mfano wa Rais Museveni kukaa mpaka miaka 40, haiwezekani
Vita ya kisiasa kati ya William Ruto na Rigathi Gachagua imechukua turn ya ajabu kutoka kwa sera hadi matusi ya mwili.
Gachagua alianza kwa kumtania Ruto kuhusu kupungua uzito, akidai “amekonda sana,” jambo lililochekesha umati. Ruto hakukaa kimya alimjibu kwa kusema wapinzani wake ni wanene...
Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa
Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha?
Ni hilo tu
Mlale unono kesho Dominica 😄🙏
Wakuu habari,
Nimekwama hapa kupata details za kutosha kuhusu haya mazungumzo ya Rais wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa makamu wa rais Kenya Rigathi Gachagua
Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea nchini Kenya kuhusu matamshi yake kuhusu ugaidi alipokuwa Marekani alikodai kuwa rais William Ruto...
Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025 katika mazishi ya shangazi yake marehemu Gladys Gathoni Kahua huko Kaunti ya Nyeri, Gachagua alisema...
Kiongozi wa chama cha DCP na Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amepuuzia madai kwamba aliwalipa makundi ya vijana kuharibu mali wakati wa maandamano ya Juni 25 ya GenZ akidai kuwa serikali inahusika na uharibifu wa mali hiyo. Hata hivyo viongozi wa upande wa serikali wanashinikiza kukamatwa...
Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kufadhili makundi yenye vurugu kuingia kwenye maandamano ya vijana hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa mjini Embu na Kiritiri. Mbarire alisema kuwa hatua hiyo ilikuwa njama ya...
Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?”
Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi
Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo.
Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
NTV Kenya:
Wamepost video za walinzi wa aliyekuwa makamu wa Rais wa Kenya wakifyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni waliovamia na kuleta vurugu wakati Gachagua akilaunch chama chake.
Riggy G anaungana na makamu mstaafu wa Rais Kalonzo Musyoka, Waziri mstaafu Matiangi, Wamalwa na Martha Karua...
Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila, maana anatokea Mt. Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2...
Tanzania ni nchi ya wazembe na vijana wa hovyo sana !kwa nchi zingine tusingesikia eti polisi wanavamia mkutano wa upinzani ni kama wanavamia jambazi au ni oparesheni ya kukamata magaidi. Nchi yetu Bado Ina umaskini wa fikra na sisi ni watumwa wa uhuru wetu wenyewe!
Lissu kufikishwa mahakamani...
Makamu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua amemuita Rais William Ruto "kamanda halisi" wa Kikosi Maalum cha Sudan (RSF) kutokana na madai ya kufanya biashara za kifisadi na kiongozi wa kikosi hicho, Mohamed Hamdan Dagalo, maarufu kama Hemedti.
Wakati ambapo vita vya RSF na jeshi la Sudan...
Aliyekuwa Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Rigathi Gachagua, amesema kuwa kuna kitengo cha siri ambacho kinapanga utekaji nyara wa vijana ambao umekua ukiripotiwa nchini humo, ambapo watu 7 wakiwa wameripotiwa kutekwa na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa Usalama siku za hivi huko nchini Kenya.
Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027.
For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President.
Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE
A political marriage between...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.