furaha

  1. JamiiForums Tanzania Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup

    Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa. Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
  2. JamiiForums Tanzania Waliojiajiri wana furaha sana kuliko walioajiriwa

    Za leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana. Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani. Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu...
  3. JamiiForums Tanzania Kila nikitazama nyuso za wanaonizunguka ni kama hazina furaha

    Hichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani. Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni furaha isiyo kifani kuona kila mtanzania anamudu mahitaji yake ya kila siku

    Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu. Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake. Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja tunaweza kuwapatia tabasamu | furaha ya mtoto ipo kwenye mambo madogo sana ya kidunia

    Habari za wakati huu waungwana, natumaini Mungu anaendelea kutujaalia uzima mpaka siku hii ya leo. Natumaini humu jukwaani tupo watu wa imani mbalimbali, kwa ndugu zangu wakristo leo ni ijumaa kuu siku ambayo wanaomboleza kuteswa na kufa kwa Yesu Kristo. Hivyo basi siku ya jumapili...
  6. JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kusherekea Sikukuu ya Kumwagiana Maji ya Kabila la Wadai yarejesha kumbukumbu za utotoni

    China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China kama mimi ama hata watalii wanaokuja kutoka nje, kusherehekea sikukuu hizi za jadi za China huwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

    Some timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa ..... Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo kias flan ya kukufurahisha yakaweka alama / kumbukumbu ya furaha ktk maisha. .... Anyway mdada alieko...
  9. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atastawi kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa

    Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wengi wetu tuko hai lakini tumegeuka mazombi, tunachati Kwa Furaha, Lakini hatufikiri tunachozungumza

    Kupungua kwa mawasiliano ya kijamii kati ya wanajamii (socialization), na hasa kwa vijana na wanawake waliokulia katika maeneo ya mijini. Yote ni athari zinazochangiwa na matumizi ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii kama Twitter (X), TikTok, na Instagram, na jinsi zinavyochangia kuporomoka...
  11. JamiiForums Tanzania Makolo leo Mkishinda mnanipa Pesa,Mkipigwa mnanipa Furaha,Hivyo mtaamua nyie mnipe kipi kati ya hayo mambo mawili

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Makolo eeeeeeeee amang'ana abharisya! Amueni wenyewe Leo,nipate amasenti au mnipe Furaha 😁 Reo ndiyo siku ambayo mutake musitake razima murime Rami!😁
  12. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje nikose furaha!

    inawezekanaje nikose kufurahi ? . Wakuu habari! Nimekuwa nikupiti wakati mgumu baada ya kulazimika kufata protocol za familia! wazazi na ndugu zangu wamenisema sana nikaamua kuachana na mshangazi wangu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

    Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
  14. JamiiForums Tanzania Siri ya Kuwa na Amani na Furaha ni Kujifunza Kutojali Baadhi ya Mambo

    Anaitwa Bowiwksi alikuwa anapenda kuwa mwandishi wa vitabu lkn kwa bahati mbaya sana hakuna mchapishaji ambaye alitaka kufanya naye kazi,kazi yake ilikuwa mbaya na hivyo kuwafanya wachapishaji kutopenda kufanya nae kazi Alikataliwa kwenye vitabu,majarida,machapisho na hata kwa washairi,matokeo...
  15. JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  16. JamiiForums Tanzania Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Furaha yako itarejea au kuongezeka, ukifanya mambo haya 15

    Watu wengi wamepoteza furaha maishani mwao kwa sababu mbalimbali za kimaisha. Kama na wewe huna furaha, furaha yako inaweza kurejea ukifanya mambo yafuatayo: Kuna aliyekukosea? Usimchukie, msamehe – Chuki huiba furaha, lakini msamaha huleta amani. Kuna jambo limeishaharibika? Acha kulalamika –...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakenya wanaonekana wenye furaha zaidi kuliko Watanzania?

    Swali hili limekuwa likijirudia mara kwa mara, hasa tunapojaribu kulinganisha tamaduni na mtazamo wa maisha kati ya Tanzania na Kenya. Ingawa furaha ni hisia ya kibinafsi, kuna mambo ya kijamii, kiuchumi, na kitamaduni yanayochangia jinsi jamii inavyoonekana kuwa na furaha au kutokuwepo kwake...
  20. JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…