Pamoja na maendeleo ya vitu yanayoendelea TANZANIA, wananchi wake wapo hoi, hawana furaha, hawana amani, tunakuomba Bwana Membe uje utuokoe Watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu.
Kikwazo cha kwanza kwa mtu kuwa na maisha bora ni furaha.
Tumedanganywa sana kwamba kuna njia fulani ya kuwa na furaha ya kudumu kwenye maisha yetu.
Tumeambiwa ukishapata hiki na kile, ukishafika kiwango fulani cha elimu au cheo fulani, basi utakuwa na furaha. Tukaweka nguvu, tukasahau maeneo...
“Wananchi hawana furaha, hawana amani, wamejaa hofu, hawawezi kukaa kwa kukosa furaha muda wote, ndio maana tunasema kazi na bata, watu wafanye kazi wale na bata” @zittokabw
Karibu robo ya vijana wamejenga tabia ya utegemezi wa simu zao na tabia hiyo imekuwa kama uraibu, utafiti umebainisha.
Utafiti uliofanywa katika chuo cha King kilichopo London, unasema kuwa watu wanakuwa na hofu na kukasirishwa kama wakinyimwa mwanya wa kuwa na simu.
Vijana wamekuwa...
Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa...
Rafiki yangu mpendwa,
Unazikumbuka zile hadithi za utotoni, zile hadithi ambazo zinaanza na mtu akiwa kwenye mazingira fulani magumu, anayashinda na hadithi inamalizia kwa kusema; wakaishi kwa raha mustarehe maisha yao yote!
Rafiki, leo nina habari za kusikitisha kidogo kwako, hicho kitu...
Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...

Niliamua kutafuta orodha hii kwenye mitandao mbalimbali duniani baada ya kile nilichoamini
kuwa Tanzania ni nchi ambayo inaongoza katika orodha hiyo au kuwemo kwenye 10 bora.
Niliamini hivyo kutokana na ngonjera za viongozi wetu kuwa Miongoni mwa vitu ambavyo
Tumejaliwa ni amani ambayo...