furaha

  1. JamiiForums Tanzania Kuwa na familia yenye amani, utulivu,upendo na furaha aise ni bonge moja la Burudani 😁

    Kuwa na familia ni jambo la maana na la muhimu sana. Kuona watoto wako /wewe katika version nyingine wakikua na kufurahia maisha aise inaleta faraja sana...huku ukiwahudimia vyema kwanzia chakula,malazi,mavazi,matibabu,elimu pamoja mama yao akipata mahitaji yake. #kataa ndoa wana point ila...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna furaha sana ya kunywa pombe na company ila majuto yake ni makubwa sana siku inayofuata

    Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana.... Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote. Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf Pombe ni...
  3. JamiiForums Tanzania FURAHA AU AMANI? Mtazamo wa kiteolojia na kijamii

    FURAHA AU AMANI : Mtazamo wa Kiteolojia na Kidiplomasia katika Ustawi wa Tanzania Na Mch Emanuel Malembela (Mchambuzi wa Mambo ya Kijamii Na kiimani) "Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru" Yn 8:32 Ni nini tofauti ya Furaha na Amani katika Taifa?,Je watawala na watawaliwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kujilinganisha: Mwizi wa Furaha Yako!

    Moja ya mambo yanayoua furaha, amani ya akili, na uwezo wa watu wengi leo si vita wala umaskini pekee bali ni tabia ya kujilinganisha na wengine. Unapoanza kupima thamani ya maisha yako, hatua zako, au mafanikio yako kwa kutumia rula ya mtu mwingine, unajiingiza kwenye mtego unaoua uwezo wako...
  5. JamiiForums Tanzania Zingatia haya ili uishi kwa furaha

    Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo: Kujipenda Kujithamini Kujipa kipaumbele Kutoifikiria sana kesho Kuachana na yaliyopita Kufurahia yaliyopo Kukubali kuwa si kila mtu atakupenda
  6. JamiiForums Tanzania Furaha ni Mtego: Kwanini Inakudhoofisha na kufanya uwe mnyonge?

    Mtaani siku hizi kila mtu anakuambia "fanya kile kinachokupa furaha." Hii ni kauli ya uongo na mtego wa kisaikolojia uliotengenezwa kukufanya uwe mvivu, mnyonge, na mtu asiyeweza kuvumilia dhoruba za maisha. Ukifanya furaha kuwa dira yako ya kuchukua hatua, hutawahi kufanya jambo lolote la maana...
  7. JamiiForums Tanzania Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

    Achana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu humu jukwaani naye atuambie yeye ni nini inabidi asikose. Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia...
  8. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  9. JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli hupatikana ndani ya akili na moyo wako

    Zingatia: Furaha ya kweli 📌 Kuna wakati tunadhani tukipata pesa nyingi, nyumba nzuri, gari la ndoto au mafanikio makubwa ndipo tutafurahi. Lakini ukweli ni kwamba vitu vya nje vinaweza kutupa raha ya muda, si utulivu wa kudumu. Pesa ni muhimu. Zinatoa uhuru wa kuchagua, zinatatua changamoto...
  10. JamiiForums Tanzania Unajua kutofautisha kati ya neno furaha, neno utamu, na neno raha?

    Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu? Au ukasikia utamu lakini huna furaha? For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo Exp...
  11. JamiiForums Tanzania Ni furaha ilioje jana watu weusi wameshinda. Nimelala kwa furaha sana

    Jana team yetu weusi imeshinda dhidi ya weupe. Kiukweli nliombea sana hilo litokee sababu sikupenda wale weupe wapate ushindi. Mbape, Dembele hawa asili yao ni huku huku kwetu nimefuatilia kumbe Kylian ni Mnyakyusa kabisa. KYLIAN MWAMBAPE na Dembele ni Mnyamwezi. Nikaona hawa ndo wenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Tumekuwa Mabingwa lakini hatuna Furaha na tumepoa sana. Shida ni nini?

    Yanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana. Sielewi tatizo ni nini ndugu zanguni wana Jangwani. Kuna nini hakipo sawa? Hebu tufurahieni tuwaoneshe hawa Mikia kuwa kombe tunalo na tunatamba nalo. Tuacheni unyonge. Ni kama...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAR: Studio Furaha TV zinazomilikiwa na Mpwa wa Hayati Magufuli zavamiwa na Mabaunsa na watu wenye silaha

    Ofisi za kampuni ya habari za Furaha Media zilizopo Mikocheni – Dar es Salaam zimekumbwa na taharuki kufuatia kuvamiwa na kikundi cha watu wanaokadiriwa kuzidi 60, wakiwemo walinzi wa kukodiwa (bouncers) na watu wenye silaha. Uvamizi huo umesababisha uharibifu wa miundombinu ya kidijitali...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo Kazi zinazowafanya watu wasiwe na furaha zaidi nchini Marekani

    Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na mazingira ya kila siku ya kufanyia kazi mara nyingi huchangia kwa kiasi kikubwa zaidi katika kuamua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gabo Zigamba afanya filamu ya kisa cha Mkulima Mwamwindi kumuua mkuu wa mkoa Iringa, Dkt. Kleruu

    Mnamo Sikukuu ya Krismasi mwaka 1971, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Wilbert Kleruu, aliuawa na mkulima Said Mwamwindi huko Isimani. Tukio hilo lilitokea wakati wa utekelezaji wa sera za serikali za kutaifisha mashamba makubwa, baada ya kuzuka mgogoro mkali kati yao. Mwamwindi alijisalimisha...
  16. JamiiForums Tanzania Suluhisho kwa watu waliokosa furaha

    Furaha ni hisia inayojengwa na vitu vitatu kiroho,kimwili na kijamii. Kwa leo nitaeleza ni jinsi gani unaweza kurudisha furaha iliyopotea kwa kuzingatia mlo kamili na mazoezi. Hii itakusaidia kurudisha hamu na mood yako. Sasa twende sawa. Kuna vyakula kadhaa vinavyoweza kusaidia kuongeza homoni...
  17. JamiiForums Tanzania MH LISSU atafurahi na atakua Wakwanza Kumpokea Mchungaji Msigwa kwa Furaha, vifijo na Ndelemo!!

    Na wahakikishia, hata itokee Leo hiii Lissu Yuko Nje, HATUA YA KWANZA NI KUKUTANA NA PETER MSIGWA !!.
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  19. JamiiForums Tanzania Hata Merino ambaye ni majeruhi alirukaruka kwa furaha baada ya Arsenal kutwaa ubingwa

    Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth. Unaweza kumuona Martinelli akikata tamaa baada ya Haarland kusawazisha goli. Lakini baada ya kipenga cha mwisho ni...
  20. JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…