friji

Frijj (stylised as FRijj) is a brand of milkshake sold mainly in the United Kingdom. Today it is produced by Müller. It was first launched in 1993 by Dairy Crest. Frijj is sold in five permanent flavours: strawberry, chocolate, banana, fudge brownie and cookie dough.
There have also been numerous limited edition flavours. Since July 2003, some have featured characters from The Simpsons, in marketing campaigns. Other limited edition flavours include custard, caramel, raspberry doughnut, Jaffa Cake, banoffee pie, vanilla, white chocolate, chocolate mint, cookies and cream and irish coffee.
A thicker version of Frijj was launched in 1998 called 'Frijj Extreme', available in two flavours – white chocolate and milk chocolate. As of April 2021, Frijj had a 50% market share, the largest in the fresh flavoured milk market. Since 27 December 2015, Frijj has been produced by Müller Milk & Ingredients following the sale by Dairy Crest of their milk business to Müller.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Midea au roch ipi ni friji bora?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba ushauri ni friji ipi nzuri ya kununua kati ya hizo nilizotaja hapo juu
  2. U

    Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  3. T

    Ushauri wa kitaalam tafadhali-side by side vs top freezer refrigerator

    Kwa wazoefu na wataalamu wa Friji. Je, ipi inafaa baina ya side by side. Yaani inakuwa na milango 2 iliyo sambamba. Upande mmoja unakuwa Friza na upande wa mwingine unakuwa Friji ya kawaida au ile iliyo zoeleka ya juu friza a chini Friji
  4. N'yadikwa

    Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  5. Q

    Nauza friji ndogo iliyopo kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi kikamilifu na haina matatizo

    Nauza friji ndogo iliyopo kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi kikamilifu na haina matatizo. 💰 Bei: TSh 120,000 📍 Mahali: Tegeta Kibo, Dar es Salaam 📞 Wasiliana nami kwa simu au WhatsApp: 0685 063 688 Karibuni sana.
  6. Q

    Nauza Friji Tsh 120,000 - Niko Tegeta

    Nauza friji ndogo iliyopo kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi kikamilifu na haina matatizo. 💰 Bei: TSh 120,000/= 📍 Mahali: Tegeta Kibo, Dar es Salaam 📞 Wasiliana nami kwa simu au WhatsApp: 0685 063 688 Karibuni sana.
  7. Q

    Nauza friji, mtungi wa gesi na jiko kwa bei nzuri sana

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni wana.
  8. Q

    Nauza Friji, Mtungi wa gesi mkubwa na Jiko.

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni sana.
  9. A

    Friji friji friji linauzwa

    Aina: Boss Hali: Nzuri sana,bado lina manailoni ya upya,lina miezi 10 toka linunuliwe jipya. Mahali: Mbagala. Sababu: Limekaa tu,halina matumizi. Bei: Tsh.430,000/=(Negotiable kidogo) Mawasiliano: 0785815222
  10. Tronics guru

    Tunauza subwoofers, soundbars, home theater, speakers kwa bei nafuu

    Katika uzi huu nitakua naweka subwoofers,soundbars,home theater,speakers na radio za brand tofauti tofauti . Nitakua nauza bei nafuu kuliko mahali popote Tanzania hii utachagua bidhaa na kuletewa popote ulipo 0614228735
  11. Lucha

    Nime-fix tatizo la friji kuongeza sauti kwa msaada wa ChatGpt

    Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti. Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya...
  12. Tronics guru

    Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    Nauza vifaa mbalimbali vya electronics kwa bei nafuu Ila huu uzi nitajikita kwenye freezers na friji za brand tofauti tofauti Nipo kariakoo ndanda na tandamti call 0614228735 Whatsapp bonyeza hapa Free delivery kwa DSM na malipo ni ukishapokea mzigo Update 🚨🚨 Uzi wa TV pitia hapa...
  13. Osei Tz

    Hivi ni kweli friji halitakiwi kuzimwa?

    Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana. Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika...
  14. U

    Zipi Sababu baada ya kuweka pamoja kwa friji chupa 3 za maji kampuni uhai, hill na kilimanjaro, nimekuta chupa 1 tu ndiyo imeganda kabisa?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda Mazingira...
  15. Tanki

    ( PICHA ) Friji aina ya BOSS mpyaaa inauzwa

    Tangu itoke dukani Ina miezi minne. Na imekuwa ikitumika nyumbani. Haina hata mkwaruzo. Haina kipengere chochote. Ni milango miwili, Inapooza na kugandisha Bei 300,000 Contact : 0785214599 ( Dar es salaam - Kigogo round about )
  16. X

    Tunaunda, kurekebisha au kuboresha mashine za kutotoresha vofaranga(incubator)

    Kwa mahitaji ya huduma ya utaalamu wa mashine za kutotoresha vifaranga za aina zote *Kuunda *Kuboresha *Kurekebisha *Ushauri Piga 0785165877
  17. F

    Mimi ni fundi friji na majiko ya gesi

    Mimi ni fundi friji na majiko ya gas mawasiliano 0696222711
  18. ESCORT 1

    Tuone friji yako ina nini ndani?

    Piga picha na utuonyeshe kwenye friji yako umeweka nini? Here we go!!
  19. Big Fat Lady

    INAUZWA Fridge inauzwa (imetumika kidogo)

    SOLD
  20. Waufukweni

    Aunt Sadaka: Mtoto akichora chora friji muache, anathubutu!

    Kumekucha wadau! Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo. Aliweza kuzungumza kwa kina kuhusu jinsi wazazi au walezi wanavyopaswa kuwaachia watoto wao nafasi ya...
Back
Top Bottom