friji

Frijj (stylised as FRijj) is a brand of milkshake sold mainly in the United Kingdom. Today it is produced by Müller. It was first launched in 1993 by Dairy Crest. Frijj is sold in five permanent flavours: strawberry, chocolate, banana, fudge brownie and cookie dough.
There have also been numerous limited edition flavours. Since July 2003, some have featured characters from The Simpsons, in marketing campaigns. Other limited edition flavours include custard, caramel, raspberry doughnut, Jaffa Cake, banoffee pie, vanilla, white chocolate, chocolate mint, cookies and cream and irish coffee.
A thicker version of Frijj was launched in 1998 called 'Frijj Extreme', available in two flavours – white chocolate and milk chocolate. As of April 2021, Frijj had a 50% market share, the largest in the fresh flavoured milk market. Since 27 December 2015, Frijj has been produced by Müller Milk & Ingredients following the sale by Dairy Crest of their milk business to Müller.

View More On Wikipedia.org
  1. The bump

    Msaada wa Connection Ma Friji ya Kampuni

    Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni. COCACOLA PEPSI BEER Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara ninayoitamani kwa kuanza nayo hayo kisha baadae nitaweka yangu binafsi. Kuna wengine wanatoa ma Freezer...
  2. Transistor

    Je unatatizo la umeme mdogo,motor na friji havifanyi kazi vizuri?

    Umeme mdogo usikkwamishe shughuri zako.. Nafynga vifaa vitakavyoondoa tatizo hilo katika vifaa vyako 0785165877 Transistor
  3. Ben Zen Tarot

    Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa?

    Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki mkubwa (sijui bei yake) ingependeza kama kuna watu wanafanya biashara waje watoe uzoefu wao.
  4. Abubakari Mussa

    Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
  5. Mributz

    INAUZWA VITU USED TOKA U. K friji, zulia za mtumba na n. K

    ZULIA ZA MTUMBA BEI 70K NJOO (0718909429) Friji ndogo laki 2 Pasi 50k
  6. M

    Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  7. Rabama

    Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

    👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu. 👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza 🙏Bei yake 495,000/= Naliuza kwa sababu na shida Piga simu leo 0713...
  8. benzemah

    Faida sita kubwa za kula ndizi mbivu na angalizo la kutokuweka ndizi kwenye friji

    Ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na pia ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre), ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni. Pia, ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata...
  9. Nyuki Mdogo

    Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
  10. Dcxkobe

    Nimenunua friji kwa mara ya kwanza

    Nimenunua friji sijui matumizi yavi namba vyake viko 1 adi 7 Sasa cjajua 1 ndio inakua na Kasi au 7
  11. R

    Natafuta friji ndogo sana Arusha

    Habari. Nipo Arusha nahitaji friji ndogo sana ya kuweka chumbani. Kama unayo nicheki Kwa 0656388678
  12. Mstahiki Mea

    Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

    Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda...
  13. Mpatuka

    Friji yangu inawaka na kuzima, tatizo litakuwa nini?

    Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
  14. L

    Nina Gari lenye Friji, natafuta kazi

    Kuna gari nnayo hapa sasa natafuta tenda za nyama au kubeba mboga mboga au vitu ambavyo vinahitaji friji na tenda iwe ya Kila siku au mwezi au hata alie na Connection ya kazi hizo tunaweza kuwa wote kwenye gari hyo
  15. Kalaga Baho Nongwa

    General machines maintainance and repair. Karibu tukuhudumie

    Based on Dar es salaam & Zanzibar. Generator Services, Refrigerator Services, Air conditioners Services, Electrical wiring, Washing machines services. For first & Reliable Services call us First. +255 693 797 110 Cc. Breeze Rabi
  16. Chomo

    MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  17. Chief Kumbyambya

    Naombeni ushauri, nataka kununua friji

    Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa. Nimeona nisijepigwa na kitu kizito bora kabla sijanunua nije niulize kwanza kwa wakubwa wenye uzoefu na haya makitu hasa katika...
  18. KING MIDAS

    Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha. Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi. Yaani hadi...
  19. Nyuki Mdogo

    INAUZWA Pugu-DSM: Friji ya bei salama kabisa!

    inapoza na kugandisha. haina shida yoyote. pugu-Dampo Dar es salaam tupigie 0713096076 achana na comments. 245,000 Tshs only. Maongezi kidogo kuhusu usafiri yapo, only in Dar es salaam.
  20. Lycaon pictus

    Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

    Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
Back
Top Bottom