Modthryth, Thryth ('strength', cf. Old Norse Þrúðr, the daughter of Thor), and Fremu are reconstructed names for a character who figures as the queen of King Offa in Beowulf.
Habari za saiz wadau wa jf,
Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA
KILEMBA NI MILLION MBILI
KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
Habari wakuu .
Kama unahitaji kufanya biashara ya viatu kariakoo Kuna fremu inaachiwa Kwa sh 500,000 Kwa mwezi imebaki miezi Saba. Mwenyewe anahamia Dodoma hakuna kilemba.
Ni kariakoo Mtaa wa muhonda (Msimbazi na muhundo opposite jengo la DDC) karibu.
Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja
Inatambulisha biashara yako kama halali.
2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika.
3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali.
4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
KWANINI BIASHARA NYINGI ZA FREMU ZINAFILISIKA HARAKA?
Biashara ya fremu ni ile unakodisha chumba/sehemu sokoni au mtaa fulani, unaweka bidhaa zako na unasubiri mtu apite anunue.
Hii biashara huonekana kama “ndio biashara halisi” – ila ukweli ni huu hapa 👇🏾
1. Biashara nyingi za fremu hazifiki...
Tamaa za Wafanyabiashara kufikiria kila mahali Panamanian kuwa na fremu na kufanyia uchuuzi ni janga kwa taifa hili na ndio imesababisha hata Dar es Salaam kukosa open spaces za umma.
Shule sio kitu cha kupunguzwa bali kuongezwa kila mahali, ni bora mngependekeza makanisa na misikiti kupunguzwa...
Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha.
Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta...
Habari wana JF it's another beautiful day.
Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!
Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu...
Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO.
Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)".
Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story...
Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana {Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa}.
MFANO (Kuna video Hapo chini). Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao makuu ya Club ya Simba/Sandaland the only one kariakoo.
Bei...
Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
Habarini Wana JF nmeamua kuwaletea Fursa ya fremu ya Barabarani ambayo Haina udalali Wala nini unawapigia Moja kwa Moja wahusika.
Fremu iyo Kodi kwa mwezi ni laki 5
-Ipo G/mboto kabisa Karibu na barabara ya kuelekea mjini pia Ina mazingira mazuri
-Ipo juu ghorofa ya kwanza ni kubwa na nzuri...
Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW
Unaamua...
Habari zenu wakuu
Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu.
Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar
Asante sana
Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu.
1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji)
Advantage:
-Connection ya mafundi na mimi...
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu.
Natanguliza shukrani...
Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo kimsingi ilibidi ilipwe na mmilik wa frem au Jengo.
Pointi ni kwamba wamilik wa majengo au frem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.