freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe ya kutoshirikiana na vyama vingine yaibua mazito

    Kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhusu nia ya chama hicho kutoshirikiana na vyama vingine imezua mjadala kwa baadhi ya vyama vya siasa huku baadhi vikidai inatokana na ushirika wa chama hicho na CCM katika maridhiano na vingine vikiiunga mkono. Mjadala huo umetokana na kauli...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Zitto, Lissu na Peter Msigwa wanakubaliana Magufuli alijenga Nidhamu Serikalini. Wakumbuke nidhamu haiji kwa kuchekeana!

    Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote. Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati. Ni katika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

    Hakuishinda kesi ya ugaidi alitolewa kwa mbeleko ya Samia, siku akiingia rais mwingine atakamatwa. Kwa hiyo ni bora alipokutwa na kesi ya kujibu angekomaa hadi ashinde kesi badala ya kukubali mashitaka kusogezwa mbele. DPP akiamua hata leo anarudisha kesi mahakamani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anastahili kujengewa mnara

    Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe vs Lipumba. Wanasiasa Hawa Nani Bora?

    Nimeona hivi karibuni watu wakimlinganisha mbowe na lipumba, mengi yamezungumzwa lakini Mimi nitasaidia kuwajulisha na kuwaacha muamue nani bora. Elimu zao tuweke pembeni tujikite zaidi kwenye siasa, maana kielimu kuwalingaisha hawa ni zaidi ya kufuru tu. Mbowe sometimes hupigania wananchi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameamua kuwakabidhi Wanawake wa CHADEMA kwa Rais Samia

    Kwa tunaojua mbinu za siasa ni dhahiri kabisa ushindi wa Mama Samia umeshikiliwa na Block votes kubwa mbili yaani Uislam na Uwanawake basi. Kitendo Cha Mbowe kumkaribisha Mama Samia kwenye siku ya Wanawake wa Chadema nikutaka na kupandikiza kwenye akili za Bawacha kuwa Mama Samia ni Mwenzao...
  7. JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe kuhusu kumpokea Dkt. Slaa: Walioondoka kwa kukidhalilisha chama watafute uungwana wakati wa kurudi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho: “Chama chetu ni cha kidigitali yeyote anaweza kujiunga au kutoka lakini chama cha siasa ni chombo cha watu na sio...
  9. JamiiForums Tanzania Siku Freeman Mbowe alipotumia ofisi za CCM kuwakwepa polisi

    Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob. Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mama mzazi wa Adamoo aibuka kwenye Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA, ampatia zawadi maalum Freeman Mbowe

    Kwenye hii mikutano ya hadhara inayopigwa na Chadema kanda ya Nyasa, kuna mambo mengi sana ya kusisimua yanatokea lakini huwa hayaripotiwi, kuanzia sasa tutajitahidi kuwaleteeni kila kitu ili kutoa picha halisi ya kinachoendelea. Kwenye Mkutano wa Hadhara uliopigwa Mbeya Mjini kuna jambo...
  11. JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara wa CHADEMA Sumbawanga ulikuwa wa kumpamba Mbowe kugombea Uenyekiti

    Hello 👍👍 Jana CHADEMA walikuwa na Mkutano wa Hadhara Sumbawanga, cha ajabu Mkutano ulikuwa wa Kumpamba Mbowe Ili aendelee kuwa Mwenyekiti na kwamba anatosha huku wakiacha kunadi sera zao. Mbowe naye kama kawaida yake aliishia kumponda na kumtukana Mwendazake Kwa kile alichoita kwamba anatokea...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Tundu Lissu kwa sababu Mbowe ni maarufu kuliko CHADEMA. Hata Magufuli na Maalim Seif walivizidi vyama vyao!

    Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana. Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi. Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM. Maalim Seif kule ACT Wazalendo. Chama pale Simba SC. Mbowe hapo Chadema nk.
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe: Mtu yeyote anayepuuza siasa atatawaliwa na wajinga

    Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida. Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

    "Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. ..................................................................................  CCM Kila la Kheri...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Tundu Lissu ina chupa ya Konyagi

    Kumekuwepo na picha inayozunguka mitandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo yakiwa na picha yenye chupa ya konyagi. Picha inayodaiwa kuwa na chupa ya Konyagi Ukweli wa picha hii...
  16. JamiiForums Tanzania Lini Vyuo Vikuu vya Tanzania vitafikiria kumpa Udaktari wa Heshima Freeman Mbowe?

    Najaribu kufikiri kwa kina nakujiuliza kwa nini vyuo vikuu vya nchi yetu havimpi Udaktari wa heshima kiongozi wa upinzani nchini kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kujenga upinzani. Mbowe anastahili heshima hiyo ukifanya fair analysis kule alikokitoa chama cha Chadema na alipokifikisha anastahili...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkianza kuchukua ruzuku na malimbikizo Yote mtujulishe Wadau wa Siasa!

    Mliposusia ruzuku Katibu mkuu mh Mnyika alitutangazia nasi tukawapongeza Vivyo hivyo mtakapoanza kupokea tena kama bado mtujulishe Wadau ili tuwapongeze tena Jumaa kareem!
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe hakwenda kumpokea Tundu Lissu?

    Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche. Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda? Kuna Jambo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kutambua thamani ya Tanzania

    Nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa CHADEMA kwa kutambua thamani ya Tanzania Tofauti na huko nyuma sasa hotuba zake zimejaa uzalendo anaitanguliza Tanzania. Anaonesha heshima kubwa kwa Rais hii ndio huruka na Tabia ya waTanzania. Nimefatilia hotuba zake Mwanza, Musoma na Tarime kweli...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akiongea katika kipindi maalum cha Kinaga Ubaga

    January 2023 Mwanza, Tanzania Mahojiano exclusive/maalum na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Ajenda ya CHADEMA kuanzia sasa 2023 na kuendelea kuelekea mbele Freeman Mbowe akiongea katika kipindi cha Kinaga Ubaga juu ya safari waliyoanza ya mikutano ya hadhara na pia CHADEMA kutimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…