freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60, awashukuru kwa Uzalendo Wao wakati wote!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60 Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹 ====== Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Onyo la Polisi ni mkakati wa makusudi wa Polisi kutafuta kisingizio cha kukamata na kutesa Wanachadema

    Baada ya onyo la Polisi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA waliodaiwa kuwa na mipango ya kuvamia vituo vya Polisi, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema hatua hiyo ni shambulio jingine la kizushi na chuki dhidi ya CHADEMA na viongozi wake na kuwa ni mkakati wa makusudi wa Polisi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, mpe Uwaziri Freeman Mbowe wa CHADEMA!

    Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka. Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka. Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka. Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe kuhusu Utekaji na Maasai wa Ngorongoro yazaa matunda

    Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM. Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa; 1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake...
  5. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe hata nyie chama chenu kina kikosi cha kutoa mafunzo kwa vijana ili wafanye vurugu wakati wa uchaguzi mbona husemi?

    We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kutekwa kwa watu ni maelekezo kutoka juu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya CHADEMA Mikocheni amesema Kwa mwaka huu (2024) na sehemu ya mwaka jana (2023), wako Watanzania zaidi ya 200 katika ukanda huu na nje ya ukanda huu, ndani ya kanda hii ya Pwani, ya Dar es Salaam na nje ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Leo nitazungumza mambo mawili mahususi ambayo sisi kama Chama tunaamini yanagusa Watanzania na yanazua taharuki na hofu, nitazungumza kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya...
  9. JamiiForums Tanzania Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo si shwari CHADEMA

    Hellow JF. Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo sio shwari CHADEMA. Tukianza na kauli za makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliwahi kusema CHADEMA kuna pesa chafu. Kwa bahati mbaya sana watanzania tunakasumba ya kupuuzia mambo na kuyachukulia poa poa mambo. Likaeenda...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Freeman Mbowe amng'oa John Mnyika CHADEMA

    Swali, Kama kweli Mnyika Kajiuzuru barua yake iko wapi? Pia soma Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi
  11. JamiiForums Tanzania Napendezwa sana na utulivu alionao Freeman Mbowe

    Nampongeza sana kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe kuonesha ukomavu wa kisiasa kuhimili misukosuko kila inapojitokeza amekuwa na utulivu sana mwenye hekima hasa kunapotokea chama kinapitia hali ngumu. Wapo viongozi walihama lakini chama kilizidi kuimarika zaidi hata sasa nimejifunza zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Nashauri Prof. Lipumba, Dkt. Slaa, Mbowe, Lissu na Mzee Rungwe wagombee ubunge tu

    Kwa hali halisi na mazingira ya sasa ya uelekeo wa upepo wa kisiasa nchini ni dhahiri kwa miaka kumi ijayo, wanawake wana nafasi kubwa mno, hasa kwa nafasi za juu za uongozi wa nchi kisiasa ukilinganisha na wananume wenye sifa kiasi dhidi ya nyingi na za ziada kwa upande wa wananwake Tanzania...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

    Ndugu zangu watanzania, Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe. Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu afafanua kuhama kwa Peter Msigwa. Ajibu tuhuma zake dhidi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe

    Kwa muhitasari: Tundu Lissu: "Ni rafiki yangu wa muda mrefu tangu mwaka 2006. Kuhama kwake kumeniumiza sana na ni pigo kwa chama kwa sababu Msigwa alikuwa ni mtu mpamnaji mzuri sana" Tundu Lissu: "Kwa kuwa alikuwa ni rafiki yangu ktk misingi ya harakati za mapambano ya kisiasa na kwa kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaelewa maana ya " Operesheni"? Afande Awadh alikuwa kwenye Operesheni ya kuzuia mkusanyiko wa CHADEMA pale hakunaga kubembelezana

    Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kenya Wananchi ndio waliochukua Hatua siyo Vyama vya Siasa, kutupiga siyo suluhisho

    “Huu uliofanyika ni ukandamizaji ambao sio wa kawaida na wala usionekane ni tukio dogo, sisi kama Chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana na tunaamini jambo hili ni mkakati wa makusudi uliotengenezwa na Serikali, Vyombo vya vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Polisi, CHADEMA...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Hatutaripoti Polisi. Hakuna Kiongozi wetu atarudi kwa mashtaka hewa haya!

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano ulioitishwa na Chama hicho amesema Viongozi wa Chama hicho wamefunguliwa mashtaka na kisha kujidhamini na kutakiwa kuripoti kwenye vituo tofauti vya Polisi. Amesema hakuna Kiongozi wa Chama hicho atakayerudi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam. Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe amezungukwa na Wahuni halafu anasema atachukua Nchi!

    Ukiangalia Mbowe anaruka na helikopta halafu anasema mwaka huu kunja ngumi, kunja ngumi tunachukua nchi, nikimwangalia Mbowe anasema atachukua nchi hebu angalia 'line up 'yake unamwona Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Naibu Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Waziri wa Fedha Mwigulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…