form 5

Form 5 is an SEC filing submitted to the Securities and Exchange Commission on an annual basis by company officers, directors, or beneficial (10%) owners, which summarizes their insider trading activities. This form is simply a combination of year's Form 4 filings, which are mandatory filings made shortly after insiders make transactions.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Hii ndio sababu ya baadhi ya wanafunzi wa Saint Francis na shule za seminari kupungua uwezo darasani wakienda shule nyingine form 5 ama chuo

    Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu...
  2. Niache Nteseke

    Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...? Civics D History D Geography C Kiswahili C English D Physics F Chemistry D Biology C Mathematics F Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani...
  3. R-K-O

    Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  4. JanguKamaJangu

    Machaguo ya Wanafunzi wanaojiunga Form 5 yapangwe mapema, mamlaka zinawaumiza Wazazi na walezi

    Naomba mamlaka zinazohusika kuchagua Wanafunzi kwenda kidato cha tano zote zitoe nafasi ya waliochaguliwa mapema ili kuwawezesha wazazi na walezi kufanya maandalizi ya kuwapelekea Watoto shule kwa utaratibu. Machaguo yanapotoka mapema inampa fursa hata mzazi au mtoto kujipanga mapema kwa kujua...
  5. B

    TAMISEMI Kutangaza selection form 5 leo may 12 2022 ,wanafunzi kureport June 2022

    Breaking: TAMISEMI KUTANGAZA SELECTION FORM 5 LEO MAY 12 2022 ,WANAFUNZI KUREPORT JUNE 2022 Kuona selection tembela Selform.tamisemi.go.tz
  6. Rodwell mTZ

    Kwa ufaulu huu anaweza endelea na form 5?

    Salaam wanaJF. Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F. Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form 5? natanguliza shukrani kwa majibu yenu.
  7. sky soldier

    Tutoane ushamba: Kuna haja gani ya kumpeleka mtu form 5 kama uwezo wa kumsomesha chuoni upo?

    Wengi wanapeleka watoto advance kwa kukariri kwamba ndivyo ilivyozoeleka kwamba mtu akiwa na credit 3 basi anaenda form 5, wamekariri kwamba watu wanaoenda chuoni baada ya form 4 ni wale wenye division 4 tu kumbe kuna wenye division 1 zao, wamejiongeza na wapo huko vyuoni wakiwa wameanza kusomea...
  8. Alevet

    Naomba kujua vitabu vya combination ya PCM Form 5 na 6

    Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
Back
Top Bottom