Kwa ufaulu huu anaweza endelea na form 5?

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,308
1,423
Salaam wanaJF.
Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F.
Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form 5? natanguliza shukrani kwa majibu yenu.
 
Mpeleke vyuo vya kati akasomee cheti cha fani aipendayo.
 
Hawezi kuendelea na kidato cha tano Kwa kuwa ana C mbili.
Ili aendelee na kidato cha tano alipaswa kuwa na walau ufaulu unaoanzia C tatu kwenye masomo yasiyo ya Dini.
Ili aendelee form 5 atapaswa kurudia mtihani aongeze C moja.
Ila anaufaulu unaomwezesha kuendele na masomo Kwa ngazi ya Cheti baadae Diploma halafu degree
 
Anaweza kuendelea Kama atakuwa tayari Ku-resit akiwa F5,kabla hajafanya mitihani ya F6 ili apate alama moja ya c!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama vp arudie mtihani tu kama kuna mdogo wangu nae mwaka jana kapata hivyo D4 na C 2
Alizirudia HIZO D zote na kapata C3 na D 1 now anaenda Advance mapeeema tu
 
Salaam wanaJF.
Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F.
Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form 5? natanguliza shukrani kwa majibu yenu.

Akawe polisi tu… mpeleke ccp, aina kama yake ndio wanaotakiwa huko! Zingatia aliyoyasema Simbachawene!
 
Back
Top Bottom