Nimeandika mada ndefu kiasi, so tenga muda kiasi , wale mtakaopita na kusema nimeandika pumba mna nafasi pia ya kucomment karibuni.
wakuu habari zenu, hongereni kwa wale mnaonufaika na hii kitu ya kuitwa Forex, kwanza kabisa lengo la kuwa mention hapa ni baadhi yenu ambao mpo kwenye huu...