NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa.
1. Job Yuston Ndugai
2. Bashiru Ali
3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi
4. Joyce Ndalichako
5.Mzee Mkuchika
7.Dorothy Gwajima.
Hatimaye kila kitendawili cha hatma ya kisiasa ya Majaliwa katika nafasi ya waziri mkuu kimehitimishwa rasmi leo baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwa 'masikitiko' makubwa kutangaza rasmi kuwa hatachukua tena fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Ruangwa, na hivyo kufuta ndoto zote...
Hakuna Jipya Chini ya Jua hii hali ya kila mtu kutia Nia ya Ubunge kwa Chama cha Kijani hata 2020 ilikua hivihiv yani ilikua kituko kila mtu aliutaka ubunge.
Hadi Kina steve Nyerere nao walitia Nia.
Kwa wenye Akili mtaunganisha doti hio ni michezo kile kipindi kila mtu alitia Nia kuaminisha...
Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Mtaalamu wa ardhi na Mjasiriamali Kijana Bw. Thom Mnkondya, Leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Ofisi za CCM Wilaya ya Momba.
Thom, ambaye amejizolea...
Wadau,salamu wote.
Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER.
Wengi wa hawa watia nia wanatafuta kitu kinaitwa "political muscle" au nguvu ya kisiasa kwa ajili ya
Kuziwekea ulinzi...
Habari wakuu,
Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo.
Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
Natatizwa na wanaohofia hili wimbi la uchukuaji fomu, hasa za ubunge kwa tiketi ya ccm. Ni haki yao kulingana na katiba yao na ilani yao. Kadhalika ni takwa la kikatiba mradi tu ujue kusoma na kuandika.
Binafsi naamini kuwa vyombo vya uteuzi ndani ya ccm havitafanya makosa kama awali. Bunge...
Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
Wakuu
Sasa mshindwe nyinyi tu. CHAUMMA imetangaza rasmi kufungua dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani kuanza hapo kesho Julai 1, 2025 huku gharama ikiwa ni Sh. 50,000 kwa ubunge.
Ubunge viti maalum - Sh. 50,000
udiwani viti maalum - Sh. 10,000
Ujumbe wa baraza la wawikilishi -...
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP.
Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu!
Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!!
Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM.
Pia soma
Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza...
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
......
......
Ningeshangaa, mbali na kutamkiwa wazi kuwa hatakiwi, leo kapata wapi ujasiri tena wa yeye kwenda kuchukua fomu?
Kumbe kuna mapinduzi ndani ya chama la mapinduzi?
Watajuwana wenyewe huko
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...