Mgombea Ubunge Buchosa, Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa Kata ya Kazunzu alipopita kuwasalimia mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jana Agosti 26, 2025 amewasisitiza Wananchi kuwa na umoja, kuachana na makundi yaliyokuwepo awali wakati wa mchakato wa Kura za ndani.
Shigongo...
IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO.
Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Vunjo wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio la kihistoria la Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola, akichukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge.
Shughuli hiyo iligeuka kuwa...
Baada kuvuka vizingiti na hatimae chama cha CCM kuamua kumpitisha kama mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini.
Sasa ndugu Makonda anaenda kuchukua fomu katika ofisi za wilaya za CCM.
Barabada zinatarajiwa kufungwa kwa masaa kadhaa kutokana wingi wa watu watakaomsindikiza.
Tayari maandalizi...
Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini Flatei Gregory Massay amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Vijijini Ndugu Joseph Sambo.
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Aesh Hilaly mapema Leo Agosti 24, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge ikiwa ni utekelezaji wa kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wote kuanzia nafasi ya Udiwani, Ubunge na Urais.
Aesh...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho.
Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
Rosemary Kirigini ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya za Meatu na Maswa mkoani Simiyu amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Meatu kupitia chama cha Act Wazalendo.
Pia aliwahi kuwa Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mara.Kabla ya kuibukia Act Wazalendo alikuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya...
Wakuu!
:D:D sasa hii ndio kazi yako Mkojani, endelea kuchekesha Watu tu!
Mwigizaji na mchekeshaji Abdallah Mohamed Nzunda, maarufu kama Mkojani, amemwaga machozi akidai kufadhaishwa na matokeo ya kura za maoni za Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CCM. Adai Wajumbe walimtia moyo sana kuwa atatoboa
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8...
Mfanyabiashara maarufu wa mazao anayefahamika kwa jina Johnson Exaud Sarakikya, amerejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Julai 02, 2025.
Aliyekuwa rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) mwaka 2020, Dk Elisha Osati (kulia) amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 2,2025.
Fomu hiyo ameikabidhi kwa Katibu wa Wilaya ya Temeke...
Wakuu,
Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu, Nusrat Hanje amechukua fomu kuomba uteuzi kwa ajili ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hanje amekabidhiwa fomu hiyo Juni 28, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi, Joshua Mbwana (kushoto)
Soma pia...
Kada wa CCM Wilaya ya Rufiji, Shaban Matwebe, ambaye awali alilalamikia kunyimwa fomu ya kuwania Ubunge, hatimaye amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 01, 2025.
Matwebe amesema licha ya vikwazo alivyopitia, ikiwemo kushikiliwa na Polisi na kukatishwa tamaa kwa njia mbalimbali hatimaye amefanikisha...
Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Brighton Kinemo, leo amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi hiyo huku akiahidi kuwaletea wananchi wa Mvomero mabadiliko chanya yanayojengwa juu ya misingi ya uongozi bora, siasa safi na maendeleo jumuishi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Standard Voice Limited ambayo inamiliki Standard Radio FM, James Japhet Daud amechukua 'Form' kuwania Ubunge Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma.
Wakuu
Sasa mshindwe nyinyi tu. CHAUMMA imetangaza rasmi kufungua dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani kuanza hapo kesho Julai 1, 2025 huku gharama ikiwa ni Sh. 50,000 kwa ubunge.
Ubunge viti maalum - Sh. 50,000
udiwani viti maalum - Sh. 10,000
Ujumbe wa baraza la wawikilishi -...
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.