fomu ya ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Nataka kwenda kijijini kuchukua fomu ya ubunge

    Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa. Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
  2. PAYE

    GE2025 Dkt. Catherine Joachim achukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum, kupitia Umoja wa Wazazi CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati ya Afya na Mazingira Umoja wa Wazazi Taifa, Dkt Catherine Joachim, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum katika Umoja wa Wazazi Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi. Dkt Joachim amekabidhiwa fomu hiyo tarehe 29 Juni, 2025 na Bi...
  3. Genius Man

    Baba Levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri wagombea hawa wanauwezo wa kusimamia sheria na serikalii ipasavyo ?

    Baba Levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri kuna haja ya kurekebisha utaratibu na sifa za mtu kuwa mbunge asiwe mtu yoyote tu awanie ubunge ? Uwepo wa wabunge wasio na uwezo unaweza kupelekea bunge kuwa dhaifu. na nchi kuwa na mwelekeo mbovu ikiwemo kisheria, kiuchumi, kielimu, kutokuwepo...
  4. Tanzanians

    Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

    Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada...
  5. Just Pray

    Askofu Gwajima achukua fomu ya ubunge Jimbo la Kawe, asindikizwa na walinzi wake

    Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe. ====== Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umejiridhisha kuwa kipande cha video kinachomuonesha Askofu Josephat Gwajima akienda kuchukua fomu ya ubunge...
  6. Just Pray

    GE2025 Wakili Ambindwile ajitosa rasmi achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini

    Ambindwile ambaye ni mtaalamu wa sheria mwenye uzoefu mpana, ambaye pia ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni ya sheria ya The Icon Law Corporate Attorneys, yenye makao yake makuu katika jengo la Law House, Mkoani Iringa. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu...
  7. W

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Morris Makoi, amechukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la MoshI Vijijini

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Bw. Morris Makoi, amechukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la Mosh Vijijini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Source: Banana FM
  8. W

    GE2025 Kennedy Mmari achukua fomu ya ubunge Siha, Kilimanjaro

    Katika kilele cha siku ya kwanza ya mchakato rasmi wa uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Siha limeandika historia yake kwa kumpokea mjasiriamali Kennedy Mmari (33) kama mgombea wa kwanza kutia nia. Ni majira ya saa 8:21 mchana...
  9. Waufukweni

    GE2025 Meijo Laizer ajitosa kugombea Ubunge Siha kupitia CCM, kuchuana na Agrey Mwanri

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Meijo Loloinyo Laizer, leo Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Siha kupitia chama hicho. Meijo, ambaye pia ni mmoja wa waliowahi kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)...
  10. Waufukweni

    GE2025 Miriam Mjema ajitosa kuwania Ubunge Same, Mashariki kupitia CCM

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Same, Miriam Mjema amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha Mapinduzi kuwania Ubunge katika Jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za ccm wilaya...
  11. M

    GE2025 Familia moja kuwa na wabunge wawili ambapo mmoja ni waziri, Je ni sawa?

    Ninazidi kufuatilia siasa zetu Afrika najifunza mengi . Leo nimeona mbunge mmoja akichukuwa fomu ya kuomba kugombea ubunge ambapo pi mdogo wake ni mbunge na waziri. Sheria haikatazi familia moja kuwa kwenye nafasi za uongozi wa kisiasa. Lakini kutokana na ufinyu wa furusa naona ingekuwa vema...
  12. W

    GE2025 Kada wa CCM Aloyce Mwenda achukua fomu ya kuomba ridhaa jimbo la Lupembe

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe Bwana Aloyce Mwenda amechukua fomu kuomba ya Ubunge katika Jimbo la Lupembe. Bwana Mwenda amesema Yupo tayari kuwatumikia Wananchi wa Jimbo La Lupembe endapo Chama Cha Mapinduzi(CCM) kitampa ridhaa ya kuwa Mgombea Ubunge. Chanzo: Uplands Fm
  13. W

    GE2025 Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Ilongero mkoani Singida. Nyalandu amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo zamani likiitwa Singida Kaskazini kwa vipindi viwili, amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 28, 2025 na Katibu wa...
  14. W

    GE2025 Antony Mavunde achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mtumba

    Aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa endapo atapata ridhaa ya chama, atakuwa tayari kuwania nafasi hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi. Akizungumza mara...
  15. W

    GE2025 Mwandishi wa habari, Adam Malima achukua fomu ya Ubunge Mpwapwa kupitia CCM

    Mwandishi wa habari wa channel ten Adam Malima amechukua form ya kuwania kuteuliwa na chama cha mapinduzi CCM kugombea ubunge wa jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma. Adam Malima ambae ni mzaliwa katika jimbo hilo ameeleza kuwa dhamira yake ni kuhakikisha kuwa anaifungua Mpwapwa ili iwe kubwa zaidi...
  16. W

    PreGE2025 Fadhili Ngajilo achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini kupitia CCM

    Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Iringa Fadhili Ngajilo ametangaza nia ya kutaka kugombea Ubunge Kuelekea katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025. Ngajilo ametoa azma yake ya kulitaka Jimbo la Iringa Mjini mara baada ya kujitokeza katika Ofisi za CCM Wilaya ya Iringa Mjini Leo kuchukua Fomu ya Ubunge na...
  17. PAYE

    GE2025 Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona. Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na...
  18. Parabolic

    PreGE2025 Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA atimkia ACT Wazalendo

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam. Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni. Mwaka 2020 Kaboyoka...
  19. Liutenant

    Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

    Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
  20. GENTAMYCINE

    Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
Back
Top Bottom