fomu ya ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa...
  2. M

    CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Aliyekuwa RC Mbeya, Dkt. Juma Homera achukua fomu ya Ubunge Namtumbo

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zubeir Homera anatarajia kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Namtumbo Jumamosi June 28. Dkt. Homera amesema tayari yuko Namtumbo akisubiri zoezi hilo Jumamosi. "Nitachukua fomu Jumamosi hapa Namtumbo, mengine tutasema wakati ukifika" amesema Dkt...
  4. McLaren

    PreGE2025 ACT Wazalendo wathibitisha Sheikh Ponda kugombea Jimbo la Temeke

    Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, anatarajia kuchukuwa fomu ya kukombea ubunge na atawania nafasi hiyo katika jimbo la Temeke. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa jana Juni 23, 2025 kwa umma na ACT Wazalendo, Sheikh Ponda atachukua fomu saa tano asubuhi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Eric Shigongo achukua fomu ya ubunge jimbo la Buchosa 28 June, 2025

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lushona Mathia achukua fomu ya ubunge ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini

    Uongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini umemkabidhi Fomu ya Ubunge Lushona Mathias mkazi na Mzaliwa wa wilaya ya Chato ili kwenda kupeperusha Bendera ya chama hicho huku akiahidi kwenda kutatua changamoto za wakulima , wafugaji pamoja wafanyabiashara wa Jimbo la hilo. Kupata...
  7. W

    PreGE2025 Husna Sungura achukua fomu ya ubunge Jimbo la Chamazi kupitia ACT. Ahaidi maendeleo akichaguliwa

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Husna Sungura, ameahidi kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wa Jimbo la Chamanzi endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi ujao. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa...
  8. Roving Journalist

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT, Shangwe Ayo achukua fomu ya ubunge wa Arumeru Mashariki

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki. Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
  9. W

    PreGE2025 Otto achukua fomu ya ubunge ACT-Jimbo la Geita Mjini

    Hekaheka za Uchukuaji Fomu katika maeneo mbalimbali zinaendelea ambapo Mkoani Geita katika Jimbo la Geita Mjini Emmanuel Otto Ikolongo kupitia chama cha ACT wazalendo amechukua Fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge huku akitoa vipaumbele mbalimbali. Ikolongo ambaye Ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    Zitto Kabwe sio wa kumuamini, alisema atagombea Urais iweje akachukua fomu ya Ubunge?

    Takribani mwaka mmoja uliopita, May 6, 2024 Zitto Kabwe alituambia kuwa amejiandaa kuwa Rais na maana yake angegombea mwaka huu. Imekuaje akabadili gia angani? Huyu sio wa kumuamini hata kidogo!
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Zitto Kabwe achukua Fomu ya Ubunge Kigoma Mjini

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama hicho. Zitto amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo, Ndugu Idd Adam, katika tukio lililoshuhudiwa na wafuasi na viongozi wa chama hicho...
  12. Mindyou

    PreGE2025 Naibu Waziri Katambi achangiwa pesa ya kuchukua fomu ya Ubunge

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi (Mjomba), amepokea mchango wa pesa kutoka kwa watu wenye ulemavu mkoani Tabora kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge. Mchango huu umeonyesha upendo na mshikamano wa dhati kutoka kwa jamii ya watu...
  13. W

    PreGE2025 Bodaboda wamchangia Dkt. Tulia fomu ya ubunge Mbeya

    Taifa lina utani sana hili yani watu wenye matatizo wananmchangia mtu mwenye pesa akaendelee kuzichota pesa. Na hawa wamefanya hivi kwa sababu hiyo maboboda yenyewe wamepewa na Tulia huyo huyo === Leo tarehe 4 Machi, 2025 Umoja wa Madereva wa bodaboda Mbeya Mjini umemwomba Mbunge wa jimbo hilo...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Simiyu: Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga achangiwa Milioni moja na laki tano kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge, fomu ishalipiwa

    Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa ==== Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga amechangiwa pesa takribani 1,586,000 kwa ajili ya...
  15. Mindyou

    PreGE2025 Mbunge wa Kilombero Abubakar Ulega asema hatochukua fomu ya Ubunge endapo hatakamilisha miundombinu ya barabara mtaa wa Limemo

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Abubakar Asenga amesema kuwa hawezi kuchukua fomu ya Kugombea ubunge wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 kama hatokamilisha ujenzi wa Barabara ya Kata ya Lumemo ambayo imekuwa kero Kwa wananchi wa eneo Hilo Mhe. Asenga ameyasema hayo Februari 2,2025 Wilayani...
  16. Mindyou

    PreGE2025 Kilimanjaro: Baadhi ya wananchi wa jimbo la Siha watangaza kumchukulia fomu ya Ubunge, mbunge wao Godwin Mollel

    Wakuuu, Wananchi wa Jimbo la Siha wameonyesha nia thabiti ya kumuunga mkono Mbunge wao, Godwin Mollel, kwa kuahidi kuhakikisha wanamchukulia fomu ya kugombea tena Ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Soma pia: Kuelekea 2025 Kilimanjaro: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Pwani: Jafo achangiwa fomu ya ubunge na wajumbe Kisarawe

    Wakuu, Wajumbe wamefurahi bana, wajumbe watakuwa wamekunwa kweli kweli mpaka wametema😂😂, yetu macho. Ila wajumbe hawajawahi kuwa watu wazuri😂😂, wanakuchekea mwishoni hutaamini macho yako. ===== Wajumbe wa Mkutano mkuu kutoka kata za Kazimzumbwi na Kiluvya Kisarawe Pwani wameazimia kwa...
  18. J

    PreGE2025 Ndoto za kada wa CCM kuchua Fomu ya Ubunge 2025 zayeyuka

    Ndoto za kada maarufu wa chama cha mapinduzi CCM)jimbo la moshi mjini za kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kuwania ubunge kupitia jimbo la moshi mjini ,zimeyeyuka kutokana na kuwa chini ya adhabu. Mapema mwaka huu,kada huyo alipewa onyo na chama chake kutokana na kuendesha...
  19. milele amina

    PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  20. K

    PreGE2025 Shija Shibeshi: Nilinusurika kutekwa wakati narudisha fomu uchaguzi wa 2020 nilipokuwa nagombea Ubunge jimbo la Misungwi

    Mwaka 2020 niligombea Ubunge Jimbo la MISUNGWI.Wakati NARUDISHA fomu 25/08/2020,Nilinusurika Kutwekwa ndani ya Majengo ya Halmashauri huku nikinyooshewa BASTORA mbele ya Mkurugenzi aitwaye MABUBA KISENA ili wanipore Fomu yangu ya Ubunge!!Mungu kawapiga UPOFU Wameanza kujitaja! Maoni yangu...
Back
Top Bottom