focus

FOCUS is a fourth-generation programming language (4GL) computer programming language and development environment that is used to build database queries. Produced by Information Builders Inc., it was originally developed for data handling and analysis on the IBM mainframe. Subsequently versions for minicomputers and such as the VAX and other platforms were implemented. FOCUS was later extended to personal computers and (in 1997) to the World Wide Web: the WebFOCUS product.

View More On Wikipedia.org
  1. REJESHO HURU

    PostGE2025 GEN Z tuacheni na drama za Majizo asitutoe kwenye reli, focus yetu maandamano endelevu

    Yeye si ana vyombo vya habari na ana majukwaa ya kisasa, basi aendelee kupromoti mziki na wanamuziki wake. Hatuna muda wa kujadili mambo yake tena issue yake ikifika jioni tujihidi abaki anajadili yeye na mkewe. Mbona hasemi ndugu zetu waliopoteza uhai anaona kipato cha wanamuziki wake bora sana...
  2. Kizibo

    Mbona kama Gen Z tushaanza kupoteza focus kuhusu 9D

    Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D. Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake. Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote...
  3. D

    Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  4. MR BINGO

    Our focus vs our problems

    Pichani utaona watu tuliowatuma bungeni wanachohangaika nacho VS Chini kulia hapo unaona hospital yetu ya taifa ikiwa haina umeme kwa masaa 18 na wabunge wamekazana kuendekeza ushabiki wa kisiasa kwa nchi ambayo hospital yake ya taifa INAWEZA kukosa umeme kwa karibu...
  5. Heritage123

    Jinsi ya Kuwa na Consistency na Focus Katika Biashara na Maisha ya Kawaida

    Katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, vishawishi kila kona, na presha ya kila siku, kuwa na focus (umakini) na consistency (msimamo) imekuwa kama superpower. Watu wengi wananza vitu vizuri, lakini wachache sana wanavimaliza. Wachache zaidi huwa consistent mpaka mafanikio yaje. Ukweli ni...
  6. R

    Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  7. K

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri. Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya...
  8. Knock life

    Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

    Vijana tumieni akili Mwanamke akiwa na umri mkubwa akili yake inashuka sana na uwezo wa kufikiri unakuwa duni Sana SoTafuta mwanamke wa umri wa 18 kama umefika 30 achana na oldest women
  9. G

    Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

    Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
  10. SinaMdaa

    Maoni na Ushauri kuhusu kuzingatia jambo ninalolifanya kwa wakati husika

    Wadau habarini za uchana huu wanajamii. Natumaini mu wazima wa afya. Niende kwenye mada moja kwa moja,nipo hapa kuuliza na kuomba Ushauri nawezaje kufocus na kuzingatia (concentrate) kwenye jambo nalofanya kwa wakati husika. Nimekuwa na changamoto ya kushindwa kufocus na kunconcentrate kwenye...
Back
Top Bottom