fisi

The Italian Winter Sports Federation (Italian: Federazione Italiana Sport Invernali; FISI), is the winter sports federation for Italy. Part of the Italian National Olympic Committee (CONI), it deals with all federations conducting sports for the Winter Olympics, including skiing, skating, biathlon, bobsleigh, and luge.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Wasukuma kufuga fisi

    Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi. Wasukuma watani sijui niseme? Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo? Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya utalii kule sengerema na gamboshi wazungu wakaleta pesa ya kigeni ya kuangalia fisi. Anyway mtwambie...
  2. Simba, Chui, fisi ‘waingia’ Zanzibar

    Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa), Lusajo Nsweve, akisemani mpango katika kutanga utalii. Wanyama hao ambao...
  3. Mwanza: Fisi anyofoa kipande cha mkono wa mwanafunzi wa darasa la pili na kuondoka nacho

    Mwanafunzi wa Darasa la Pili katika Shule ya Msingi Kasomeko iliyopo Kata ya Katunguru, Deus Dalama (8) mkazi wa Wilayani Sengerema amejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za mwili ambapo madhara makubwa aliyoyapata ni mnyama huyo kuondoka na mkono wa Deus. Tukio limetokea Agosti 2, 2023 wakati...
  4. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua Mfanyabiashara Mkubwa

    ✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua...
  5. B

    Magu: Watoto wawili wauawa na fisi wakienda shule

    Haya yanatokea leo karne ya 21. Tunaweza vipi kuwa na huruma na wezi na wabadhirifu au matumizi mabaya (yasiyokuwa na ridhaa ya watu) ya mali za umma? -------- Mwanza. Wanafunzi wawili wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ilumya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamefariki katika matukio...
  6. Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

    Mamlaka ya usimamizi wa Wanyamapori TAWA mkoani Mwanza imefanikisha kuua fisi wawili walioripotiwa kupora mtoto na kumjeruhi katika kijiji cha Nsola kata ya Nsola Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza. Askari wa TAWA walifanikiwa kuwaua fisi hao huku mmoja akikutwa na hirizi katika mkia wake kama...
  7. B

    Arusha: Chui, fisi tishio kwa mifugo

    Wakazi wa Ngorongoro wameeleza kuishi kwa mashaka katika makazi yao kutokana na uwepo wa wanyama wakali ambao wamekuwa wakila mifugo yao. Uwepo wa wanyama kama Chui na Fisi unatajwa pia kuwatia hofu wazazi pindi watoto wao wanapoenda na kurudi shuleni ambako hulazimika kutembea umbali kati ya...
  8. Bakhmut bado ni kimbembe, mfupa uliomshinda fisi, Mrusi hana hamu

    Mrusi ametupia kila kitu hapo Bakhmut, "mizoga" ya Warusi kila siku inaongezeka kwa maelfu lakini wazalendo wa Ukraine wamesimama kidete, wanapambana kuingia kwenye historia kama Daudi dhidi ya Goliathi, tuliaminishwa siku zote Urusi ni jitu............ =================== Kiev, April 11...
  9. Geita: Watu 10 wajeruhiwa na fisi

    Watu 10 katika Kijiji cha Nyamalimbe Kata ya Nyamalimbe Wilayani Geita Mkoani Geita wamejeruhiwa na Fisi muda mfupi baada ya Fisi hiyo kumuua ng’ombe katika Kijiji hicho. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Bethaneema Mlayi amesema kuna Watoto walikuwa wanachunga ng’ombe wakamuona Fisi...
  10. M

    Meya ashuhudia unyama unaofanyika uwanja wa fisi

    Mstahiki Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge ametoa wito kwa jamii kuacha kutumia ngono kama kazi, akisema ni kinyume na sheria za nchi. Akiongea kwenye kipindi cha SupaBreakfast, Meya Mnyonge amesema asilimia 30 tu ya kondomu zinazowekwa kwenye maeneo ya biashara zinachukuliwa na kutumiwa na...
  11. M

    Anayefikiri kuwa moto wa Arsenal ni wa mabua, ni kama fisi anayemnyatia mtu akidhani mkono wake utadondoka apate kitoweo

    Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!! Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka...
  12. Mtoto wa miaka mitatu aliwa na fisi Mwanza wakati akienda kuoga kwenye dimbwi

    Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake. Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
  13. Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  14. Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

    Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja. Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa. Asubuhi ya leo akaenda...
  15. Kwa watoto kuliwa na fisi wilayani Karatu, nailaumu idara ya wanyamapori

    Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...
  16. DC wa Bariadi adaiwa kushinikiza wananchi kupiga kura ya siri kuwataja wachawi na wenye Fisi

    Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi. Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
  17. Shinyanga: Watoto waliotumwa dukani usiku, wabakwa, walawitiwa, waliwa na fisi (ripoti ya Polisi)

    Watoto 10 wakazi wa Kata ya Mhongolo, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga, wamebakwa na kulawitiwa kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita na wengine wawili wakiliwa na fisi. Waliofanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wanakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka sita hadi 12 wa jinsia...
  18. K

    Ifahamu nguvu ya koromeo la fisi katika biashara

    Katika biashara yapo mambo yanayofanywa na wafanyabiashara ili kuwavuta wateja ambayo ukisimuliwa unaweza kufikiri ni utani ama story za vijiweni. Miongoni mwa mambo hayo ni matumizi ya koromeo la mnyama fisi katika kuchujia pombe za kienyeji. Inasemekana endapo utakunywa pombe iliyochujiwa...
  19. Sengerema, Mwanza: Fisi ajeruhi wawili wakiteka maji

    Watu wawili wamejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za miili yao katika Kijiji cha Nyamabano, Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wakati wakiteka maji kwenye lambo. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Oktoba 4, Ofisa Mtendaji kijiji hicho, Mathias Njoluli amesema...
  20. Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

    Fisi huyo aliyeua mtoto wa mwaka mmoja na nusu baada ya kuvamia nyumba katika Kijiji cha Kangeme wilayani Kaliua alijeruhi pia watu watatu ambao inaelezwa wanaendelea vizuri. Diwani wa kata ya Zugimlole, Ramadhan Balikeka amesema kuwa wananchi waligawana nyama na haelewi walienda kufanya nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…