fimbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Familia yaomba uchunguzi kifo cha aliyechapwa viboko 280

    Serikali imeombwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua waliohusika na kifo cha mkazi wa Sanawari, wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, Nelson Mollel (32) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa viboko 280. Mollel alifariki Januari 8, 2023 kwa madai ya kuchapwa baada ya...
  2. Viongozi sasa waanza zoezi la kuwachapa fimbo wapiga Kura kuelekea 2025

    Hili nalo nendeni mkalitizame , mie niko Kwa Biden
  3. Ofisi ya ACT Wazalendo, CHADEMA isijifiche kwenye kivuli cha fimbo

    Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa. ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na...
  4. J

    Mkurugenzi wa MATI atoa msaada wa fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona

    Na John Walter-Manyara Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brand Ltd David Mulokozi ametoa msaada wa Fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kusaidia makundi yenye mahitaji maalum. Akikabidhi fimbo hizo kwa...
  5. Kilimanjaro: Mama adaiwa kumuua mwanae wa miaka mitatu kwa kumchapa fimbo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mwanamke mwenye miaka 27, Mkazi wa Kibosho Kirima Juu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua mwanae mwenye umri wa miaka mitatu na miezi sita kwa kumchapa na fimbo. Akithibitisha hilo mbele ya waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoani...
  6. G

    Mama mkwe, kumpenda kijana wako, isiwe fimbo ya kunichapia

    Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake??? Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
  7. Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

    Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde leo imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Dk. Edward Mwaikali. Pia imeviondolea wakfu vifaa vya Kiaskofu alivyokuwa anatumia kama pete, msalaba pamoja na fimbo ambavyo alikabidhiwa tarehe 18 Januari 2018 alipowekwa wakfu...
  8. J

    Rais Samia shika fimbo, wanataka kupitia mlango wa nyuma

    Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo vinono na kuanza kuiandama Serikali Bungeni. Walikuwa wajanja: Hawakuwa wanamtaja JK wala kumshambulia...
  9. Ajali ya magari junction ya Salasala, Mbezi Beach na Kunduchi

    Hii imetokea leo asubuhi Salasala junction, Mbezi Beach/Kunduchi. Ile down ya Kunduchi, gari inaelekea imefeli breki.
  10. Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

    Viongozi CCM mbaroni kwa kumjeruhi Askari Polisi KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. Kamanda wa Polisi...
  11. Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

    Huyu binti ni mtoro wa shule, baba yake ilibidi awe ana mburuza shuleni. Siku hii baba akiwa amechoka aliamua kuvaa gauni la mkewe na kumpeleka mtoto shuleni. Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.
  12. Hii fimbo ya kijeshi aliyoshika Rais Kenyatta huwa inamaanisha nini? Tujuzane

    Huwa inabebwa na makamanda wengi wa kijeshi,je huwa ina maanisha nini?
  13. Aina za fimbo

    AINA ZA FIMBO By Frumence M Kyauke Fimbo ni kijiti kirefu ambacho kinatumika kwa namna nyingi ili kufikia mbali kuliko mkono wa mtu. Kwa mfano fimbo hutumika kuua nyoka au kutoa adhabu kwa kuchapa mtoto kutokana na kosa fulani. Hizi ni aina za fimbo na matumizi yake: Mpapure Fimbo ya kungwi ya...
  14. Fahamu kuhusu Hayati Mzee Moi na fimbo yake maarufu kama “Fimbo ya Nyayo”

    Fimbo ya Rais wa zamani wa Kenya, Hayati Daniel Toroitich Arap Moi ilijulikana sana kama ishara ya nguvu, uongozi na mshikamano wa kitaifa. Fimbo hiyo liyotengenezwa kwa pembe za ndovu na dhahabu, ilibatizwa jina la 'Fimbo ya Nyayo'. Wachambuzi wanasema fimbo hiyo ilikuwa ishara ya nguvu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…