fifa

  1. JamiiForums Tanzania Wakati Skudu sasa amewazimieni Simu jitahidini mumlipe Morrison kabla hajaenda FIFA na Mkafungiwa Maisha

    Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho FIFA, I need help

    Naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku. Email :integrity@fifa.org Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa...
  4. JamiiForums Tanzania FIFA Women's World Cup 2023 | Kombe la Dunia kwa Wanawake

    Mashindanoa ya FIFA kombe la dunia la wanawake litaanza kesho Alhamisi July 20, 2023 na kumalizika August 2nd. Round za kwanza zitachezwa Sydney, Australia na Auckland, New Zealand huku fainali ikichezwa Sydney Australia. Mashindano haya mwaka huu yamehusisha timu 32 tofauti na huko nyuma...
  5. JamiiForums Tanzania Tuliosema Kitambo kuwa Yanga SC ilifungiwa na FIFA Kusajili na Tukatukanwa hapa tunaomba tuombwe Radhi upesi

    "Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda mrefu" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC. Chanzo: Sports Headquarters ya EFM muda si mrefu.ll...
  6. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

    Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC. Haya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
  8. JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

    Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais FIFA atoa pongezi kwa Club ya Yanga SC

  11. M

    JamiiForums Tanzania FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mmoja tu afaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa FIFA, ni nani huyu?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji? Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki? Nimetoa taarifa hizi toka kwa Angitile Osiah kama alivyo eleza katika moja ya makala yake kwenye gazeti la...
  13. JamiiForums Tanzania FIFA yaivua Indonesia nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia U20

    Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo. The Football Association of Indonesia (PSSI) said Fifa was forced to cancel the draw after Bali's governor Wayan...
  14. JamiiForums Tanzania Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaobeza maamuzi ya TFF nikumbusheni ni lini CAF, CAS au FIFA zilitengua maamuzi/hukumu za TFF?

    Kuna mzee mmoja ni Jaji mstaafu kwa sasa, alishawahi kutuambia kuwa ukienda Mahakamani basi mlalamikaji na mlalamikiwa wote wanona wana haki. Hata kesi za jinai ukisikiliza upande wa mtuhumiwa ni ama anaonewa au ama anaalalamika kosa limekuzwa. Nirejee hapa, sualal la Fei kihuruma linatazama...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

    Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA PC games fifa 14 na pes 17 patche to 23

    PATA FIFA 14 PATCH 23 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ PES 17 PATCH 23πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5. Pia TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ TUNAFIKA ULIPO KWA DAR NA PWANI 0710701361πŸ“žπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA...
  18. JamiiForums Tanzania FIFA kufungua mashitaka ya kinidhamu kwa timu ya Argentina

    Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita. Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
  19. JamiiForums Tanzania FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022. Sheria za FIFA zinatamka kuwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…