fifa

  1. JamiiForums Tanzania Ninataka kuiandikia FIFA kuhusu mapendano ya Yanga na CCM. Niongeze nini?

    Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Faroe Islands na Gibraltar ni nchi zenye hadhi moja na Zanzibar, lakini wao wamekubaliwa kuwa Wanachama halali wa FIFA, Zanzibar imefeli wapi?

    Visiwa vya Faroe na Gibraltar ni nchi zilizopo barani ulaya... Hizi ni nchi ambazo hazina mamlaka kamili kuitwa mataifa huru kama ilivyo Zanzibar tu. Gibraltar ni ki-nchi fulani chenye watu 40,000 tu..kinamilikiwa na Uingereza. Wakati Faroe ipo under Danish realm.. Chakushangaza zaidi hawa ni...
  3. JamiiForums Tanzania FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

    Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey. Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
  4. JamiiForums Tanzania Chelsea yafuzu kombe la FIFA dunia kwa ngazi ya vilabu mwaka 2025

    Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na Real Madrid kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika Marekani. Chelsea walionyesha ubora...
  5. JamiiForums Tanzania FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Source; FIFA Rankings
  6. D

    JamiiForums Tanzania point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

    I will be short. club world cup updated points ni points za caf champions league tu. in short team za caf confederation cup hazipo. hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World Cup. EVIDENCE LINK HII HAPA : https://en.wikipedia.org/wiki/2029_FIFA_Club_World_Cup
  7. JamiiForums Tanzania Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya FIFA.mpira ni mali ya FIFA sio serikali

    Kila alichofanya au anachofanya mwamba Karia kina baraka za Fifa, Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya wenye mpira wao. Mpira ni mali ya nani? Wa kumtoa Karia ni Fifa only guys wake up
  8. B

    JamiiForums Tanzania 🇹🇿Je, Tanzania inaweza kufungiwa na FIFA kutokana na sakata la derby (Yanga vs Simba) na uchaguzi wa TFF?

    Habari.... 1. Sakata la Derby Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa. Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma. Waligoma kucheza baadhi ya mechi, na waliwasilisha malalamiko yao hadi kwa viongozi wa serikali. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania G. Lema Kweli Unakitu Macho Yetu Hayajakiona. Maombi Yako Kuhusu Yanga na Simba Kuharibu SiasaZetu FIFA Kaja Kulimaliza.

    Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe. Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa. Ndio maana tuliona vita kule Angola...
  10. JamiiForums Tanzania Nawapa Saa 12 kutoka sasa Uongozi Simba SC kutangaza Kutocheza tarehe 25, Juni, la sivyo naenda kuishitaki Serikali FIFA ili Tanzania tufungiwe

    Sasa kama mnadhani GENTAMYCINE ninatania endeleeni hivyo hivyo. Simba SC tangazeni haraka Kutoicheza hiyo Mechi.
  11. JamiiForums Tanzania TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Wakuu ===== Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa? FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi. FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga walidai haki yao wao kama wao direct kwa mamlaka za soka, Simba wao wameenda kulia kwa mwandishi Micky apeleke FiFA

    I salute kinsmen Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga . Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu. Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi? Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
  13. JamiiForums Tanzania Twendeni kwenye page za FIFA na CAF tukaishataki Tanzania kuingiza siasa kwenye mpira ifungiwe Ili taifa likombolewe

    Katika kitu ambacho tunatakiwa kukifanya mwaka huu ni kuishitaki tanzania kuingiza siasa kwenye simba na yanga Ili nchi ifungiwe kwama Kenya ilivyofungiwa sasa twendeni Kwa wingi wetu tukacoment Ili nchi ifungiwe kujihusisha na soka nafikiri itaondoa uzombi wa watanzania sababu picha za mkuu wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA Si https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
  15. JamiiForums Tanzania Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

  16. JamiiForums Tanzania 2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

    Habari wakuu… Michuano ya Kombe la Vilabu la Dunia imewadia, ambapo vilabu 32 kutoka mabara tofauti vitapambana kumsaka bingwa kuanzia Juni 14 mpaka Julai 13 nchini Marekani. Hii ni format mpya ambapo itaanza kutumika mwaka huu na michuano hii itakuwa inafanyika kila baada ya miaka minne...
  17. JamiiForums Tanzania Marefarii wanaotambulika na FIFA kutoka Afrika ya Mashariki

    Kutoka Kenya Kutoka Uganda Kutoka Rwanda Kutoka Burundi Kutoka DRC =Zero Kutoka South Sudan Kutoka Somalia Kutoka Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Sakata la Simba na Yanga tumewaachia mamlaka za mpira

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema kuwa Serikali haiwezi kuingilia mzozo wa klabu za Simba na Yanga kutokana na kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ambazo zinakataza serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu Prof. Kabudi ametoa kauli...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada FIFA 23

    Habari FIFA 23 la PC pad controller zimenigomea msaada jinsi ya kuactivate
  20. JamiiForums Tanzania Udhamini wa GSM kwenye ligi kuu sasa kuchunguzwa na FIFA

    Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni. FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake. FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…