feki

Sosaia Feki (born 9 May 1991), also known by the nickname of "The Factor" is a Tonga international rugby league footballer who plays on the wing for the Castleford Tigers in the Super League.
He played for the Cronulla-Sutherland Sharks in the NRL, and was part of the Cronulla team that won their maiden premiership title in the 2016 season.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kura feki zinapochanganywa na kura halali nini hutokea?

    Salaam, Shalom!! Nijuavyo, 1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara ,biasharaitakufa. 2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa halali iwe mtaji, biashara italaaniwa na kufa. 3. Ukimwibia boss wako, unachukua pesa hiyo na...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chaguzi feki zitaiua hata CCM yenyewe

    Kuna wana CCM wanafurahia uhuni wanaofanyiwa wapinzani kwenye chaguzi. Kwao inawapa sense ya ufahari ya kujiona wana power fulani hivi inayowawezesha kuiruhusu haki kwa kupenda au kuiminya haki kwa kupenda. Hata hivyo huu ni mtazamo finyu. Ikifikia hatua ile core ya CCM ikaamini kuwa haihitaji...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Leo niungane na Tulia( spika wa bunge feki tz )

    Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake . Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii . OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  6. JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

    Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo. Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu. Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

    Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online. Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sitaki Watu Feki

    WATU FEKI- Appy Siku mbili sijalala sijakula Ninastress Nyumba imegeuka chumba cha dharura Emergency Sioni marafiki ama mashosti Au mnasubiri nife ndio mniposti Bora nitafute pesa Ndugu wa kweli mafanikio Watu feki watu feki Sitaki marafiki siwataki ng'o Sitaki wanafiki sitaki watu feki Wambie...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue flash gani nzuri kwenye maduka kati ya kioxera, toshoba, sandisk, n.k. ntajuaje ni feki?

    Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk. Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
  10. JamiiForums Tanzania Arsenal wafanya zoezi la kuvishwa medali za ubingwa, Waandaa Jukwaa na kombe feki

    Kwamba iwapo watatwaa ubingwa leo wasiwe washamba wa shughuli hiyo
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: TMDA endelevu dhidi ya Vita ya Dawa Feki

    TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha waliotumbuliwa kwa vyeti feki ndo wamejazana taasisi binafsi hasa secta ya Afya

    Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu. Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  15. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Brand New SWISS TECH. 300,000 Pesa Feki Haipiti..

    Usd, euro Mpya kabisa. Piga 0712347749
  16. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa taarifa huweza kufanya kupitia kutengeneza nukuu potoshi za watu maarufu

    Mitandao ya kijamii imejaa nukuu za Wataalamu na watu maarufu mbalimbali kutoka katika nyanja mbalimbali. Watu wanaweza kupotosha taarifa kwa kutengeneza nukuu zisizo za kweli au kuzibadilisha nukuu za watu fulani ili zifanane na mtazamo wao au kusudi lao. Wapotoshaji huzitengeneza na kudai...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini makanisa yaliyojitenga na Kanisa Katoliki yanaongoza kwa Kashfa za manabii na Mitume feki?

    Wadau hamjamboni nyote Najiuliza Makanisa yaliyojitenga yakipinga mafundisho yanayoenda kinyume na maandiko ya Kanisa la Katoliki ndiyo kwa sasa yanaongoza kwa mambo yasiyompendeza Mungu: Manabii na Mitume feki, Kashfa za mauaji, Imani za Ushirikina, Mifarakano ya kifamilia, Migogoro...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati wa Uchaguzi watu hutengeneza Akaunti feki zenye majina ya Wagombea

    Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani. Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  20. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

    Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo.. "Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…