Sosaia Feki (born 9 May 1991), also known by the nickname of "The Factor" is a Tonga international rugby league footballer who plays on the wing for the Castleford Tigers in the Super League.
He played for the Cronulla-Sutherland Sharks in the NRL, and was part of the Cronulla team that won their maiden premiership title in the 2016 season.
Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu
Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya unauziwa feki kwa bei ya og kama unajipenda nenda kwenye mahospitali ghali alteast kuna dawa kule...
Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa.
Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa uongo.tumekataa Uongo.
Na msijali kwa sababu huwa mshahara wa dhambi ni mauti...
Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia.
Ikumbukwe huyu nabii feki...
Wana bodies kasi ya bidhaa feki imekuwa kubwa na watengenezaji hawajali tena afya za watanzania kabisa,na bidhaa hatarishi kwa afraid,zikiwa na kemikali hatarishi,hambazo zimeua vijana wengibkwa sababu ya Figo vitu kama hivyo,je niwakati sahihi wa kutungwa sheria kali sana hata ikiwezekana...
Salama wakuu.
Nilinunua godoro la Vita Supreme. Limekuwa gumu kama jiwe hadi linaumiza.
Napata mashaka labda ni feki. Unatambuaje godoro feki? Maana nimesikia kuna watu wanayafyatua vichochoroni.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
HATARI: SIRI ZILIZOFICHWA ZINAZOENDELEA KUBADILI BIBLIA :-
LAZIMA USOME IKIWA WEWE NI MWFUASI WA KWELI WA KRISTO
Ni ushuhuda wa ajabu na wa kugusa sana. Tafadhali chukua muda wako na uusome hadi mwisho
MABADILIKO YA MISTARI YA BIBLIA
( MISTARI YA BIBLIA ILIYOCHAKAKULIWA )
Na Amina Hassan
▪️...
Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe.
Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
Anonymous
Thread
feki
jirani
makaa
makaa ya mawe
mawe
nchi
nchi jirani
raia
tabora
Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.
Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
Kila script wanayotoa waigizaji wanakosea.
Script ya kwanza ni ile ya maandamano ya kwenda ubalozi wa Vatican Tanzania, kuna makosa mengi ya kiufundi yalifanyika ikakosa mvuto.
Script ya pili ni ile ya kuvamiwa kwa main character (steringi), ikajulikana hakuvamiwa wala kuumizwa bali alipaka...
GT.
Ila Mungu anajua kuwaumbua wajinga leo wansema FR Kitima ni Askofu.
Hii ni project endelevu ya kujaribu. kulichafua kanisa ikiongozwa na Mwigulu Nchemba.
Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika siku inayokwenda wanazidi kukaza kamba.
Hili chaka ka kuzawadia watu Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu...
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema.
Dr. Slaa amesema...
Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi.
Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu.
Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya...
Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote.
Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza nchi,umeua,umeteka,ufira,umebaka,umeleta mambo ya ajabu.
alafu neno lako unasema "tusitengane kwa tofauti zetu" .kwa hiyo tofauti yako...
Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani.
Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.