feki

Sosaia Feki (born 9 May 1991), also known by the nickname of "The Factor" is a Tonga international rugby league footballer who plays on the wing for the Castleford Tigers in the Super League.
He played for the Cronulla-Sutherland Sharks in the NRL, and was part of the Cronulla team that won their maiden premiership title in the 2016 season.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Attorney

    JamiiForums Tanzania Hasira na makwazo huondoa vilemba vya wema na busara feki tunazojivika

    Unapomhitaji mtu awezeshe jambo lako, mtu unayemwona ni raslimali ya ufumbuzi wa tatizo lako, unaweza kulazimika kuwa na sura ya uungwana bandia. Mshunuzi Carl Jung aliuita uungwana huu persona—tabia tunazojitambulisha nazo mbele ya watu tunaowahitaji kama nyenzo ya mahusiano—mfano tabasamu...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mkumbusheni Rais Samia, Mungu atamkasirikia na kumpa Kisogo endapo ataendelea Kugawa mamilioni Kwa Hawa Manabii Feki!!

    Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu. Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake. Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa. Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TCRA wafungie ama wasifungie Simu Feki? Kariakoo na Makumbusho imejaa Simu za "kimarekani" na "Korea" feki!

    Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi! Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka mikoani na kuamini ni original. Simu yeyote ukikuta ina ki-dude kama maskini tape na haipo kwenye...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  5. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi wana uwezo mkubwa kutambua rafiki feki, Rafiki yako ni rahisi kugundua mpenzi asiekufaa, Watoto wana kipawa cha kumjua ndugu mnafki

    Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu, Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki zako wana jicho makini kuweza kujua mpenzi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kura feki zinapochanganywa na kura halali nini hutokea?

    Salaam, Shalom!! Nijuavyo, 1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara ,biasharaitakufa. 2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa halali iwe mtaji, biashara italaaniwa na kufa. 3. Ukimwibia boss wako, unachukua pesa hiyo na...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chaguzi feki zitaiua hata CCM yenyewe

    Kuna wana CCM wanafurahia uhuni wanaofanyiwa wapinzani kwenye chaguzi. Kwao inawapa sense ya ufahari ya kujiona wana power fulani hivi inayowawezesha kuiruhusu haki kwa kupenda au kuiminya haki kwa kupenda. Hata hivyo huu ni mtazamo finyu. Ikifikia hatua ile core ya CCM ikaamini kuwa haihitaji...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Leo niungane na Tulia( spika wa bunge feki tz )

    Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake . Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii . OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  12. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

    Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo. Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu. Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

    Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online. Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Sitaki Watu Feki

    WATU FEKI- Appy Siku mbili sijalala sijakula Ninastress Nyumba imegeuka chumba cha dharura Emergency Sioni marafiki ama mashosti Au mnasubiri nife ndio mniposti Bora nitafute pesa Ndugu wa kweli mafanikio Watu feki watu feki Sitaki marafiki siwataki ng'o Sitaki wanafiki sitaki watu feki Wambie...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue flash gani nzuri kwenye maduka kati ya kioxera, toshoba, sandisk, n.k. ntajuaje ni feki?

    Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk. Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arsenal wafanya zoezi la kuvishwa medali za ubingwa, Waandaa Jukwaa na kombe feki

    Kwamba iwapo watatwaa ubingwa leo wasiwe washamba wa shughuli hiyo
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: TMDA endelevu dhidi ya Vita ya Dawa Feki

    TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha waliotumbuliwa kwa vyeti feki ndo wamejazana taasisi binafsi hasa secta ya Afya

    Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
  19. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu. Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
  20. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
Back
Top Bottom