Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao kwa kuimarisha doria, misako na operesheni mbalimbali za wahalifu pamoja na usalama barabarani, na kuendelea kushirikisha wananchi katika kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu...