Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto.
Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri.
Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu , Finland, alikuwa amewasiliti dakika za mwisho wakiwa wamemsaidia kupambana na URUSI, baada ya...
Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka.
Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili.
Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na...
Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake
hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili.
Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M.
Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam.
Dirisha...
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal...
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake.
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini, Kanisani na kwa Watoto Yatima.
“Namshukuru Rais Samia kwa kulimaliza hili jambo, nawashukuru viongozi...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano...
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya
Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam.
Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili.
Hatua hiyo imekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.