fei toto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum (Fei Toto) na Yanga kimeeleweka, kutambulishwa Azam muda wowote

    MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili. Hatua hiyo imekuja...
  2. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal Salum (Fei Toto) kuhamia Azam

    Feisal Salum (Fei Toto) Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili. Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi. Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Fei Toto Sasa kwa Hersi ni kulijambia jiwe

    Mwl wangu wa shule ya msingi alinichapia hadithi ya fisi, mfupa na jiwe. Alisema, siku moja fisi mwenye njaa Kali alikiona kitu cheupe mbali kabisa akidhani kuwa ulikuwa ni mfupa unaofaa kula na kuponya njaa yake kali. Pamoja na njaa yake alikimbia umbali mrefu kuufuata "mfupa" aliouona kwa...
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    "niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Eddo Kumwembe: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

    INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia kwake. Imeendel Soka la Tanzania lazima liwe na habari tofauti inayomhusu mtu mmoja ambayo...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  8. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fei Toto tafadhali ufanyie sana Kazi huu Ushauri wangu mzuri na nakuomba Usiupuuze kabisa

    Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa hata Kuonana nami. Fei Toto najua Sakata lako lote na labda leo niseme tu Ukweli kuwa Mpango...
  10. Mributz

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea ya Fei Toto huko TFF

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana Mei 4, 2023 ilisikiliza shauri la mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja mkataba na waajiri wake Young Africans kupitia barua yake ya tarehe Machi 6, 2023. Baada ya...
  11. hometown

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei Toto

    Anaandika Wakili Msomi simon.esq, Mkurugenzi wa sheria wa Yanga Sc _____________ Kwa ridhaa ya timu ya Yanga (klabu ya Wananchi) napenda kuongelea kwa mara ya mwisho sakata la mdogo wetu Feisal Salum na kilichotokea jana. Mdogo wetu kwa mara nyingine tena aliandika barua ya kutaka kuvunja...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Shauri la Feisal Salum 'Fei Toto' kusikilizwa leo TFF

    Picha: Feisal Salum 'Fei Toto' Shauri la FEISAL SALUM na YANGA SC linaenda kusikilizwa leo tarehe 04.05.2023 kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji. Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza shauri hili huenda litasikilizwa majira ya saa 10 alasiri. Sababu ikiwa ni mawakili wa Yanga SC...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

    Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
  14. kilwakivinje

    JamiiForums Tanzania Kumtumia Fei Toto kupooza moto wa Derby haitasaidi

    Naona Fei kila ikikaribia game ngumu anaibuka kutoka mafichoni na kuwahadaa Yanga kwa kesi isiyo na mashiko wala haimpi faida yeye zaidi ya anguko lake kimpira. Na sisi wana lunyasi ikitokea Fei kutoka machakani tunahamisha focus yetu nakuanza kushabikia hii kesi kama vile tunampenda sana Fei...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Fei Toto aliomba kuvunja mkataba baada ya kuchoka manyanyaso

    Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
  16. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kwa Fei Toto wa Stars wote tumevuna tulichopanda

    MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini. Hakuna aliyeshangaa Fei kuwekwa benchi na Adel Amrouche, kocha mpya wa Stars. Watanzania wa leo wana...
  17. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena. Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei toto likiisha itachukua muda Fei kurudi kwenye kiwango chake

    Salamu humu. Michuano ya kimataifa inayoendelea sasa hivi kwa Simba na Yanga ambayo inaangaliwa na afrika nzima ilikuwa ni sehemu muhimu Sana kwa dogo Fei kuonyesha dunia kiwango chake na kujipima yeye mwenyewe je anaweza kwenda kucheza kimataifa au abaki humu matopeni. Sijajua alikuwa na...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

    Picha: Fesal Salum 'Fei Toto' Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda. Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa...
  20. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Kituo gani kinafuata kwa Fei Toto?

    ALIPOOMBA au tuseme walipoomba marejeo kuhusu kesi yake ya kujaribu kuvunja mkataba, upande wa Feisal Salum ‘Fei Toto’ umepigwa chini tena. Inaonekana kwamba uamuzi wa awali wa kamati iliyokaa kujadili kesi yake umebakia vile vile kwamba Fei ni mchezaji wa Yanga. Nini kinafuata kwa Fei Toto? Ni...
Back
Top Bottom