fedha

  1. Dodoma: Makarani wasusia sensa wakidai kutolipwa fedha zao

    Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Waongozaji hao wa Makarani wamedai kuwa waliahidiwa kulipwa laki moja kwa awamu mbili lakini hadi...
  2. B

    DOKEZO Wizi wa Fedha NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma (Fidelis Shauritanga) na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  3. A

    DOKEZO Wizi wa Fedha za NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  4. Je umekuwa ukihangaika kuifahamu fedha ya kidijitali? Leo utaifahamu kwa undani zaidi

    Hebu fikiria Denis na Caroline wanataka kwenda jiji la Manchester kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal ili waweze kuenda inabidi walipie nauli ya ndege ambayo Itasaidia kufika kule na itabidi walipie kupitia Mastercard ila kutokana na hitilafu inapelekea wote kushindwa kufanya malipo ila...
  5. M

    Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

    Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi. Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue. Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
  6. SoC02 Makosa Saba (07) yanayopelekea Kupoteza Fedha zako

    Emmanuel Olumide mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria aliandika kitabu cha “50 common money mistakes” kitabu ambacho ameelezea makosa hamsini (50) ambayo watu wengi hufanya kwa kujua au kutojua na kupelekea kupoteza fedha zao, inawezekena kabisa unapata fedha lakini hujui wapi fedha zako...
  7. Arusha: Afisa Mtendaji ahukumiwa miaka 20 jela kwa ufujaji wa fedha

    Agosti 24, 2022 Jamhuri imeshinda katika Shauri Na. ECO. 90/2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shauri hili lilimhusu, JULIUS K. MBISE, aliyeshtakiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kuisababishia Serikali Hasara, kinyume na vifungu vya 28 (1)...
  8. Hayati William Kusila, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa zamani aliyekimbia furushi la fedha ofisini

    Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo. Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
  9. Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

  10. Fedha za tozo zawapa faida Lindi

    Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za miamala ya simu kikiwa na thamani ya Sh250 milioni. Kabla kituo hicho hakijajengwa wananchi walilazimika kwenda kufuata huduma za afya katika...
  11. M

    Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko? Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
  12. Waziri wa Fedha ameudanganya umma, si kweli kwamba hawezi kutengua tozo

    Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko? Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga SHERIA MAMA, na baada ya hapo zinatungwa KANUNI na wizara husika. Hivyo kwenye suala la tozo, Bunge...
  13. NSSF yajivunia trilioni 7.3 ukusanyaji wa michango ya wanachama kwa mwaka wa fedha 2022/2023

    Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
  14. Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  15. Rais Samia "muondoe "Mwigulu wizara ya fedha..

    Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi... Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team...
  16. Wizara ya Fedha kutoa ufafanuzi dhidi ya "upotoshaji wa tozo"

    Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya. Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
  17. Tetesi: Wizara ya fedha na mipango haijitoshelezi.

    Yaliyo fanyika hivi karibuni; 1. Kuanzishwa kwa tozo katika miamala ya simu za mkononi. 2. Kuanzishwa kwa government levy katika miamala ya kibenki. Yangeli tosha kabisa kumtathmini Mh Mwiguru ikiwa anamudu, kwani ameonekana kuishi katika machaguo duni siku zote. Miongoni mwa mafanikio yaliyo...
  18. Shaka: Ni marufuku kwa hospitali za Serikali kumtoza Mama mjamzito kiasi chochote cha fedha wakati, kabla na baada ya kujifungua

    SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO" Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene...
  19. Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  20. Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…