Habari wanajamvi,
Nimerudi tena baada ya kufika Morogoro salama. Treni iliondoka kwa wakati (saa 12:55) na kufika kwa wakati (saa 2:59). Nilichukua bajaji ya elfu 2, nikafika Msamvu nlikoacha pikipiki. Nikawasha chombo, nikajaza mafuta, nikafika home salama.
Nimekuwa na tabia ya kusoma kurasa...