fedha za kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums DOKEZO Fedha za kujikimu ajira mpya zimeliwa au tatizo nini wahusika watoke hadharani waseme fedha zipo wapi. TAKUKURU chunguzeni halmashauri zetu hizi

    Ni jambo la kusikitisha kwamba tangu mwezi wa February hadi sasa, fedha za kujikimu kwa watumishi wapya hazijatolewa. Kimya kimya, fedha hizi zimezuiwa, na kila jaribio la kufuatilia huambulia majibu mepesi tu kwamba subir subiri Waliweka mazingira ya mtu kupata mshahara kwanza ili kuziba...
  2. Waufukweni

    JamiiForums PreGE2025 Wasira: Kagera fugeni Ng'ombe mpate fedha za kujikimu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua kiuchumi. Amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
  3. A

    JamiiForums KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums KERO Changamoto ya kupata fedha za kujikimu kutoka HESLB ni janga kubwa Kwa wanafunzi walio Appeal, mtandao hakuna

    Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao.. Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna. Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa...
Back
Top Bottom