fedha za kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE-GEITA hatujapatiwa FEDHA ZA KUJIKIMU tangu mwaka jana

    Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Nachingwea – Lindi tukidai fedha za kujikimu tunatishiwa kuhamishiwa Zahanati za Vijijini

    Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote wamepewa. Kinachoumiza kila tukiulizia tunapewa majibu mabaya sana mbayo zaidi sisi ambao tumepangiwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya Kwimba - Mwanza (Kada ya Afya) hatujalipwa fedha za kujikimu

    Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa Januari 2026. Majibu tunayopewa huku kwenye group hayaeleweki wanatuambia serikali ndiyo inatoa pesa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya wa Afya mwezi January na February 2026 hatujapewa fedha za kujikimu licha ya kuwa mwaka wa fedha 2025/2026 uko mwishoni

    Kwa kawaida Serikali huajiri kwa bajeti, kwanini wanashindwa kulipa fedha hizo kwa wakati ikiwa huweka bajeti ya ajira na kutenga fedha za malipo ya kujikimu kwa mwaka husika wa kifedha kulingana na idadi ya vibali vya ajira? Ukiangalia asilimia kubwa ya Harimashauri nyingi hawajalipwa wengine...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Fedha za kujikimu, Walimu Halmashauri ya Chato tumepewa laki 1 badala ya Laki 9, bora wasingetupa

    Habari za muda naomba utusaidie kupasa sauti kwa kweli Halmashauri yetu ya Chato hawajatutendea haki sisi walimu wa sekondari tulioajiriwa Mwaka 2025. Walitupa fedha za kujikimu shilingi laki moja tu, walitulipa 27 Aprili 2026, kwanini sisi tumepewa fedha kidogo angali wenzetu wa Shule ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tumefanya kazi JKCI-Dar Group zaidi ya Miaka 30, tunaondolewa bila kulipwa kiinua mgongo, inauma sana

    Sisi tuliokuwa wafanyakazi wa muda mrefu katika Hospitali ya JKCI-Dar Group (zamani ikijulikana kama Dar Group) tumejikuta katika hali ya sintofahamu kufuatia uamuzi wa mwajiri wetu kusitisha mikataba yetu ya kazi na kututupa kiinua mgongo licha ya kufanya kazi hapo kwa zaidi ya miaka 30. Kundi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza

    Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimu😭😭. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Ajira mpya Wilaya ya Kilosa, Morogoro hatujalipwa fedha za kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro haijalipa fedha za kujikimu kwa ajira mpya na wapo kimya, hawajasema lolote. Serikali itusaidie katika hilo, tuliripoti kazini mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa nne, lakini hatujapewa pesa za kujikimu. Mimi ni mwalimu. Soma Pia: Walimu Ajira...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira Mpya - Dar hatujalipwa Fedha za Kujikimu, Kila tunapofuatilia, tunatishiwa kufukuzwa kazi

    Mimi ni mdau wa ukurasa wenu. Nina kero moja, Watumishi wa Ajira Mpya (Walimu) za Januari 2026 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hatujapewa pesa zetu za kujikimu. Kila tunapofuatilia, tunatishiwa kufukuzwa kazi.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe hatujapata fedha za kujikimu na Viongozi wapo kimya

    Watumishi wa Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya bado hatuchapokea hela ya kujikimu, ajabu ni kwamba viongozi hawaongei chochote kuhusu hizo hela. Utaratibu wa malipo hayo ya kujikimu mwajiriwa inabidi apewe ndani ya wiki mbili tangu aripoti kazini ila sisi mwezi wa tatu sasa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ni kweli Hazina haijatoa fedha za kujikimu za Waalimu Singida DC, au zimeelekezwa katika matumizi mengine?

    Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu. Tatizo la Malipo Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Geita Vijijini hawajalipwa fedha za kujikimu tangu Januari 2025

    Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya kujikimu 🙄. Halmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Mtama DC hatujalipwa fedha za kujikimu na hatujui tutalipwa lini

    Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini. Kwa kweli tunapata shida sana. Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Geita hatujalipwa fedha za kujikimu tangu Machi 2025

    Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu. Imekuwa kama mpira wa kona, hatuelewi kinachoendelea, kila kiongozi ukiuliza anasema hajui au hana jibu na kutuambia...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa TAMISEMI ingilia kati 'upigaji' wa fedha za kujikimu unaoendelea kwa Ajira Mpya

    Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya. Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000. Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Fedha za kujikimu za watumishi wa ajira mpya 2025

    Tunaomba wahusika watoke hadharani wawaeleze Hawa vijana walioajiriwa kwenye hizi halmashauri iwapo fedha zao za kujikimu zilitengewa bajeti kabla ya kuajiriwa au inakuaje?? Maana vijana wengi wamekuwa watu wa kukopa bila kujua watapata lini stahiki zao,wanaishi kwenye mwanzo mgumu kiasi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fedha za kujikimu ajira mpya zimeliwa au tatizo nini wahusika watoke hadharani waseme fedha zipo wapi. TAKUKURU chunguzeni halmashauri zetu hizi

    Ni jambo la kusikitisha kwamba tangu mwezi wa February hadi sasa, fedha za kujikimu kwa watumishi wapya hazijatolewa. Kimya kimya, fedha hizi zimezuiwa, na kila jaribio la kufuatilia huambulia majibu mepesi tu kwamba subir subiri Waliweka mazingira ya mtu kupata mshahara kwanza ili kuziba...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Kagera fugeni Ng'ombe mpate fedha za kujikimu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua kiuchumi. Amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
Back
Top Bottom