fedha za kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mbomba - Songwe ajira mpya Kada ya Afya tumelipwa pungufu fedha za kujikimu

    Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema kuwa serika imeshaingiza pesa zote hivyo tutalipwa zote bila ubaguzi. Ajabu wamelipa kiwango tofauti...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Ualimu Kaliua hatujalipwa Fedha za Kujikimu, waliolipwa wamepewa nusu

    Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado hakijalipwa. Ufuatiliaji unaonyesha kuwa hata baadhi ya watumishi waliopo kazini kwa muda mrefu bado...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Januari 2026 tumebaguliwa na kutothaminiwa na TAMISEMI kuhusu malipo ya fedha za kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026, tulioajiriwa katika kipindi cha siku 100 za Mheshimiwa Rais, tunaomba mamlaka husika, hususan Ofisi ya Rais - TAMISEMI, isikilize na kutatua changamoto ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu. Hadi sasa, walimu wengi katika halmashauri...
  4. H

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Bariadi Vijijini hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuajiriwe mwaka 2025

    Habari za muda huu, JF. Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoajiriwa mwaka 2025. Tumejaribu kufuatilia suala hili...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa Fedha za Kujikimu — Waajiriwa Wapya Ifakara TC

    JamiiForums naomba msaidie kufikisha/kuangazia suala la kuchelewa kwa malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa Ifakara TC. Tumeripoti kazini tangu Januari 2026, lakini hadi sasa hatujalipwa. Kila tunapofuatilia tunaambiwa fedha zipo Hazina na tusubiri, huku baadhi ya waajiriwa wapya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Hospitali ya KCMC hatujapata fedha za kujikimu

    Kwanza, napenda kuwashukuru kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuwapa wananchi nafasi ya kutoa maoni, changamoto na kero zao kupitia jukwaa hili. Ninaomba kupaza sauti kuhusu suala la malipo ya hela ya kujikimu kwa baadhi yetu tuliokuwa tumeajiriwa katika Hospitali ya KCMC kwa mkataba na baadaye...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Ajira Mpya wa Kada ya Afya, Wilaya ya Ikungi, (Singida) hatujapatiwa fedha za kujikimu

    Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi Watumishi wa Ajira Mpya wa Januari 2026 wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoa wa Singida, ambao hadi sasa hatujapatiwa fedha za kujikimu licha ya taarifa kuwa fedha hizo zimeshawasilishwa kutoka Hazina kwenda Halmashauri. Kwa muda...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Manispaa ya Singida Mjini tumepokea fedha za kujikimu, asanteni kwa kutupambania

    Wiki chache zilizopita kupitia Fichua Uovu hapa JF tuliwasilisha hoja kuwa sisi Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya katika Manispaa ya Singida Mjini Mkoani Singida tiilipewa nusu ya malipo ya Fedha za Kujikimu. Tunashukuru Uongozi umesikia kilio chetu na tumepokea hela ya kujikimu, asanteni JF...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakonko DC tuliambiwa Fedha za Kujikimu inazingatia Salary Scale, sasa wanasema inazingatia kituo

    Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini. Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Ajira Mpya 2026 tunahitaji Haki sawa ya Malipo ya Fedha za Kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI. Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mapunjo ya Fedha za Kujikimu (Afya) katika Halmashauri ya Mbulu. Je, Serikali imepeleka fedha chache huko kwingine? Kwanini sisi tulipwe nusu?

    Mwaka jana pia waliambiwa watalipwa nusu lakini Kwa kuvutana sana wakalipwa 1,050,000 ambayo sehemu nyingine pia wamelipwa hivyo na Halmashauri zao. Je, Serikali inaleta mapunjo ya fedha hizo za kujikimu na posho Kwa Mbulu DC pekee na si kwingine kila mwaka? Sasa hivi tunaambiwa tupokee fedha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira Mpya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumepewa nusu Fedha za Kujikimu

    Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025. Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na ilhali sheria za utumishi wa umma zinasema tupewe ndani ya siku 7, zaidi ya hayo hatujathibitishwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya Jiji: Nusu ya fedha za kujikimu kwa ajira za Walimu wa mwaka 2025 hatujalipwa

    Ni zaidi ya mwaka sasa tangu walimu tuliopata ajira mwaka 2025 turipoti kazini, lakini bado hatujalipwa fedha za kujikimu ambazo ni stahiki ya kila mtumishi wa umma. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma, fedha hizi zinapaswa kulipwa ndani ya siku saba baada ya mtumishi kuripoti katika...
  15. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Serikali itolee ufafanuzi suala la Fedha za Kujikimu kwa Watumishi Wapya

    Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa. Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana. Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Ajira Mpya (Kada ya Afya) Singida Mjini na Mkalama tumepewa nusu Fedha ya Kujikimu, wanasema Serikali haina fedha

    Ajira mpya wa sekta ya afya—tulioripoti kazini Januari 2026 katika Manispaa ya Singida Mjini na Wilaya ya Mkalama. Mimi ni Tabibu Msaidizi Daraja la Kwanza. Tulitarajia kulipwa fedha za kujikimu kiasi cha shilingi milioni moja na laki mbili (1,200,000), lakini tulicholipwa ni shilingi laki sita...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tarime: Ajira Mpya 2024 (Maafisa kilimo, Idara ya utawala) hatujalipwa fedha za kujikimu mpaka sasa 2026

    AJIRA MPYA 2024 HÀLMASHAURI YA MJI TARIME HATUJALIPWA FEDHA ZA KUJIKIMU.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Kwimba tunalilia Fedha za Kujikimu, kila tunapojaribu kuuliza, tunajibiwa kwa ukali au tunapuuzwa

    Mimi ni mtumishi wa afya katika Halmashauri ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, nikiwa katika ajira mpya ya mwezi Januari 2026. Hadi sasa hatujapewa Fedha za Kujikimu, na kila tunapojaribu kuuliza, tunajibiwa kwa ukali au tunapuuzwa. Kinachoumiza zaidi ni kuona kwamba walimu wao walishapewa fedha hizo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Simiyu Itilima DC, tukihoji Fedha za Kujikimu tunaonekana Watovu wa Nidhamu

    Ajira Mpya 2025 Simiyu Itilima DC hatujalipwa pesa za kujikimu mwaka sasa, tukiuliza tunaambiwa tupo kwenye mpango na kuonekana watovu wa nidhamu kama vile sio stahiki zetu.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Chato: Tumepokea malalamiko ya Fedha za Kujikimu, mamlaka zinafanyia kazi kwa mujibu wa taratibu za serikali

    UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA WATUMISHI AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya Chato inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii zikihusu madai ya baadhi ya watumishi wa ajira mpya kuhusu kucheleweshwa malipo ya fedha za kujikimu...
Back
Top Bottom