fedha za kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba tunaambiwa hawana mpango wa kulipa Fedha za Kujikimu

    Huku kwetu pesa za kujikimu watu wana miaka 11 hawajalipwa. Majibu ni watalipa watakapokuwa tayari. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza. Ni majibu ya Afisa Utumishi, na hata leo tu limetoka jibu la kutuvunja kabisa moyo, kuwa watalipwa ajira mpya kuanzia sasa, hamna fungu kwa ajili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

    Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu. Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni

    Walimu Ajira Mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA hadi sasa Oktoba 2026 hatujalipwa pesa ya kujikimu. Tukiuliza ofisi za UTUMISHI hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Responded Halmashauri ya Mufindi tumeanza kulipwa fedha zetu za Kujikimu, japo tumelipa nusu

    Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa. Soma: Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Ridhiwani Kikwete: Naelekeza Waajiri tengeni bajeti kuwalipa Fedha za Kujikimu Waajiriwa Wapya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza waajiri kuhakikisha wanatenga bajeti ya kulipa stahiki za waajiriwa wapya kabla ya kuwasilisha maombi ya kuongezewa watumishi. Akizungumza Septemba 23, 2026, jijini Dodoma katika...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchunguzi ufanyike kuhusu stahiki za kujikimu za Walimu wapya, wengi tunaambiwa tuandike fedha pungufu

    Ndugu Anayehusika, Tunawasilisha malalamiko haya tukiomba taasisi yenu ifanye uchunguzi kuhusu stahiki za fedha za kujikimu kwa walimu wapya. Walimu wa ajira mpya tunalazimishwa kuandika barua zenye kiasi cha pesa pungufu. Badala ya 130,000/= kwa siku saba, tunaambiwa ni 80,000/=. Tunadaiwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwaka sasa Watumishi wa VETA Intake ya September 2025 hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Ni Mwaka sasa tangu tumewasilisha kero yetu ya kutolipwa Fedha za Kujikimu kwa sisi watumishi wa VETA Intake ya September 2025. Hatujalipwa na kuna mmoja ya mtumishi mwenzenu yeye yupo Makao Makuu anadiriki kusema sisi tunaeza tusilipwe kwa sababu ya kudai haki yetu ambayo kimsingi hatupaswi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Wapya Halmashauri ya Wilaya ya CHATO - GEITA bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni barua... Ukweli ni kwamba Barua...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu katika Halmashauri ya Mkalama tulioajiriwa Januari 2026, tumelipwa hela za kujikimu pungufu

    Sisi ni walimu wenye shahada tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Tumekaa miezi minane tukisubiri malipo ya fedha za kujikimu na nauli, tukiamini kuwa hatimaye tutalipwa stahiki zetu. Leo fedha zimefika, lakini tumelipwa TSh 250,000 pekee badala ya takribani TSh...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya kutoka Babati Vijijini hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Wilaya ya Babati Vijijini tunaomba kuwasilisha kero ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoanza kazi mwezi Februari. Tumekuwa tukifuatilia suala hili, lakini kila tunapouliza tunaelezwa kuwa fedha bado hazijaingia katika halmashauri. Hadi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Januari Halmashauri ya Mkalama hatujalipwa fedha za kujikimu wakati idara ya afya wamelipwa

    Walimu tulioajiriwa mwezi Januari mwaka huu hadi sasa tumefikisha miezi minane bila kulipwa stahiki za fedha za kujikimu. Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti yetu ili kilio chetu kifike kwa wahusika. Wakati watumishi wa afya walioajiriwa kipindi kama sisi tayari wamelipwa stahiki zao...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ajira mpya Halmashauri ya Chato, tunaulizia fedha za kujikimu. Tumechoka kila mara kuandika barua

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni Barua.. Ukweli ni kwamba Barua...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tumelipwa 280,000 kati ya Laki 9.5

    Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tulitakiwa kulipwa kiasi cha takribani shilingi 950,000 lakini hadi sasa tumelipwa shilingi 280,000 tu. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kupunguzwa au kucheleweshwa kwa sehemu iliyobaki ya fedha hizo. Kinachotushangaza zaidi ni kwamba...
  15. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Ajira Mpya Halmashari ya Mwanga tumelipwa fedha za kujikimu

    Tunashukuru baada ya kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu kwa sisi ajira mpya, hatimaye hilo limetimia na tumelipwa. Pia soma ~ Ajira mpya Afya Halmashauri ya Rombo hatujalipwa fedha za kujikimu
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Babati hatujalipwa fedha za kujikimu kwa miezi mitano

    Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa. Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Hatujapata fedha za kujikimu walimu wapya Babati Vijijini

    Ajira mpya Walimu wilaya ya Babati vijijini hatujalipwa hela za kujikimu tangia tuingie kazini tuna miezi mitano mpaka Leo na hutujui hatima yetu. Tumihoji wanasema HELA haijafika lakini Afya wamepewa.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi kwa TAMISEMI kuhusu malipo ya fedha za kujikimu kwa Walimu wapya

    Sisi walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026 tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI kuhusu hatima ya malipo ya fedha za kujikimu. Hadi sasa zimepita takribani miezi sita tangu tulipoajiriwa, lakini bado hatujapokea fedha hizo. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
Back
Top Bottom