faraja

The Law Enforcement Command of the Islamic Republic of Iran, previously known as the Law Enforcement Force of the Islamic Republic of Iran or Disciplinary Force of the Islamic Republic of Iran, abbreviated as Faraja (فراجا [fæɾɒːˈd͡ʒɒː]), is the uniformed police force in Iran. The force was created in early 1992 by merging the Shahrbani (شهربانی Šahrbâni), Gendarmerie (ژاندارمری Žândârmeri), and Islamic Revolutionary Committees (کمیته انقلاب اسلامی Komite enghlâb-e eslâmi) into a single force. It has more than 60,000 police personnel, including border guard personnel, and is under the direct control of the Supreme Leader Ali Khamenei who is the head of state and Commander-in-Chief of the Armed Forces.
In 2003, some 400 women became the first female members of the police force since the 1979 Iranian Revolution. The Guidance Patrol, commonly called the "morality police", was a vice squad/Islamic religious police in the Law Enforcement Force of the Islamic Republic of Iran, established in 2005 with the task of arresting people who violate the Islamic dress code, usually concerning the wearing by women of hijabs covering their hair.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Utendaji wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu unaleta faraja na matumaini kwa watanzania

    Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania. Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
  2. Ku-file kupitia mfumo mpya wa iDRAS vipengele vimekuwa vingi

    Wakuu salaam. Naomba nichangie jambo ambalo naamini wengi wetu wafanyabiashara na wahasibu tunapitia kwa sasa - ku-file returns kupitia mfumo mpya wa iDRAS wa Tanzania Revenue Authority. Zamani mambo yalikuwa relatively straightforward. Unaingia, una-file, unamaliza. Lakini sasa mchakato...
  3. Wakati wa Kujitafuta, Epuka Sana Maneno Yanayokupa Faraja

    Kuna kipindi maishani ambacho hakihitaji kubembelezwa wala kulainishwa. Ni kipindi ambacho mtu anakuwa katikati ya mapambano ya kujenga maisha yake upya. Hapa bado hujafika, bado hujaonekana, bado huna matokeo yanayoleta pongezi. Upo kwenye hatua ya kujitafuta - na hii ni vita halisi. Vita ya...
  4. Ni sherehe na faraja kubwa tukifanikiwa kuitokomeza CCM na machawa wake

    Chama cha Mapinduzi badala ya kuwa msaada, kimegeuka kampuni binafsi ya watawala na familia zao. Chama hiko kimegeuka kuwa saratani isiyotibika inayoitafuna Tanganyika. Tushikamane kupambana na hili jinamizi ili tufurahie uhuru na ustawi wa nchi yetu. Angalizo muhimu CCM imeungana na vyombo...
  5. Ujumbe wa faraja

    “Tumepitia mambo ngumu sana kama taifa, na wengi wamepoteza walio karibu nao. Pole kwa familia zote zilizoathirika maumivu yenu ni ya kweli na yanaguswa na wengi. Katika wakati huu majonzi yakiwa hayajaisha, tuendelee kushikana, kutiana nguvu na kulinda utu wetu. Tuwafariji walioumizwa na...
  6. Wasanii Wengi Wanapambana, Sio Wavivu Tupeane Faraja na Upendo

    Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika. "Ila kuna vitu watanzania wenye nafasi flani kabla ya kuongea au kufanya tufikilie mara mbili mbili, wasanii tupo wengi...
  7. Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

    Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni. Shikamooni. Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
  8. Kura za ubunge CCM ni faraja kwa Polepole, legasi ya JPM inazidi kuishi

    Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo sana lakini nayo mengi inaonekana ni ya watu waliopata kibali cha JPM kama Masanja Kadogosa...
  9. Smile digital stationery, faraja mpya

    Nyakati zinabadilika, kuna baadhi ya watu muda kwao ni mchache sana wakati huohuo majukumu ni mengi. Nimeamua kuwaletea hii huduma ya SMILE DIGITAL STATIONERY ili kuwarahisishia wale ambao Hawana muda wa kwenda kukaa nusu saa, lisaa au masaa stationery kwaajili ya kuchapa na kusubiria kazi zao...
  10. Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
  11. Mbunge Edwin Swalle Asema Utekelezaji wa Bajeti ya Kilimo Utakuwa Faraja kwa Wakulima

    MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa tiba na faraja kwa wakulima ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali...
  12. H

    Kuondoka kwa mamluki ni faraja kubwa kwa CHADEMA. Zifanyike jitihada waondoke wote

    Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo. Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7 May 2025, alisikia hoja za ajabu za watu hao. Watu hao waliongea uwongo mwingi kama vile hakuna watu...
  13. Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  14. Nimegundua mtu anapokuja kukuomba ushauri wa mahusiano unakuta anataka umuelezee yote ili apate faraja tu ila sio kugusia yeye kuachana na huyo mtu

    Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji. Ndio maana watu walisema mapenzi...
  15. Sijawahi ona mtu ameandika JF kujisiifia amepeleka mtoto English Elementary ila Wazee wa Kayumba ni taarab kila kona ili wapate faraja ya uamuzi mgumu

    Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia. mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
  16. Weka neno la Faraja kwa wapalestina

    Ukiwa kwako hata kama unalala chini, ni kwako.
  17. Pole Sana Mama Janeth Magufuli pokea upendo na faraja ya umma wa Watanzania hata milele

    Hawa ndio wanadamu! Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania! Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana. Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi...
  18. Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  19. Thamani mojawapo kuu ya dini ni tumaini la faraja angalau baada ya maisha mateso ya hapa duniani

    Kuna watu wanateseka sana kwenye hii dunia, wengine wanateseka tangu wanazaliwa mpaka wanakufa, wengine wanateseka nusu ya maisha yao yote n.k Fikiria watu wanaugua kansa za kila aina, watu wanapata ajali wanabaki vilema wasiojiweza maisha yao yote, watu wanafungwa maisha au miaka mingi pasipo...
  20. G

    Makapuku oaneni, ili faraja yenu iwe ni kuwaona watoto.

    Katika zama hizi ukiwa na kipato cha kukuwezesha kulala pazuri, kuvaa vizuri, kula vizuri na kunywa kwa mwezi, halafu upo singo ni vema uishi peke yako tu. Utapata kila wanachokipata watu walioko kwenye ndoa. Kama ni mdada utajipamba vizuri na utaonekana na wanaume kisha watakupa huduma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…