familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kuna ukweli kuwa simu ya mama ni ya familia ila simu ya baba inabaki kuwa ni ya baba tu

    Wakuu haya si maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mtu wangu mmoja ninayemwamini sana kwa kunipa uzoefu na nasaa juu ya mambo mbalimbali ya kimaisha.
  2. Unayoyatenda unafikiria? Unajua unaumiza wangapi? Tafakari sana

    Kwa sababu ya umaskini, kuna watu walizika imani zao toka moyoni.. Kwa sababu ya hali duni ya maisha, wapo waliokimbiia familia zinazowahitaji.. Kwa sababu ya upofu wa fikra, wapo waliotoa kafara, wazazi waliowazaa.. Kwa sababu ya ubinafsi, wapo wanaojiona wao ndio wanastahili vyote.. Kwa...
  3. U

    Kumbe Ayatollah Khamenei na familia yake wamejificha kwenye bunker huko Lavizan Kaskazini Magharibi mwa Tehran

    Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say 21 minutes ago Iran's Supreme Leader Ali Khamenei was moved to an underground bunker in Lavizan in northeastern Tehran hours...
  4. M

    Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  5. Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  6. CCM Mbeya yatoa Rambirambi kwa Familia 28 zilizopoteza wapendwa katika Ajali ya Barabarani

    Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya kimetoa rambirambi yake kwa familia 28 zilizoondokewa na ndugu kufuatia ajali ya magari iliyotokea siku ya Jumamosi usiku. Soma: Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa Akiongea na wafiwa kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
  7. Nimeamini kweli usimuamini binti au mwanamke ambaye ametoka familia maskini kuwa naye kwenye mahusiano its typical Danger

    Tupo mikoa tofauti but Ninazo taarifa na ushahidi tayari kashachomoa mimba tatu za wanaume wengine, nina taarifa zake nyingi kuhusu yanayoendelea kwenye simu yake ila hajui kuwa najua maana kila info naziona vyema na voice call nazisikiliza vizuri tu, Nimejaribu kumfuata chuoni kwake kumhoji...
  8. Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  9. Vipi hapo ulipo umeoa mke au umeoa mke na familia nzima

    Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake. Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
  10. Kwani ndugu wa familia ya mzee Kijani hawaoni kama mwenzao yameshamshinda?

    Hii familia ya mzee kijani imajaaliwa kutawala kijiji chetu kwa muda mrefu. Walikuja watawala wengi kutoka katika familia hii wakafanya mambo mazuri na wakaharibu lakini si kwa kiwango hiki alichoharibu huyu mwanafamilia waliempa kijiti baada ya kiongozi kutoka familia hiyo Mzee Chuma kufariki...
  11. K

    Rais Samia atakapotoka madaraka ataenda kuishi Oman na familia yake?

    Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini, Kama huko CCM hakuna wa...
  12. ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  13. Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

    Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
  14. S

    Nahitaji mpenzi (ke) awe dar na asitoke familia ya kishua

    Nahitaji mpenzi Umri wangu 33 Mpenzi ninayemuhitaji awe anaishi dar na asitoke familia ya kishua Nimeambatanisha picha ukiniridhia njoo pm
  15. W

    Kuna mwanawake nilishindwana nae kwa kiburi chake pro max, mtu aliemuoa kajifunza kunywa pombe na huchelewa kurudi nyumbani

    Kama ilivyo kawaida, Ijumaa huwa napenda kwenda kupumzisha akili moja baridi, moja moto kwenye viwanja. Lakini leo hali ilikuwa tofauti kidogo. Rafiki yangu mmoja aliniomba nimpe kampani twende kwenye kiwanja ambacho yeye amekizoea. Sikuwa na shida, tukasafiri pamoja hadi huko. Tulipofika...
  16. Familia ya Ndugulile inastahili MAFAO ya kibunge ya Mpendwa wao!

    Poleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
  17. Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

    AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama...
  18. W

    Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  19. Familia ya Kiyahudi katika Silwan (Shiloah Village). Yerusalem, 1890

    Wayahudi hawakuwahi kuachana na Israeli - kumekuwa na uwepo unaoendelea kwa miaka 3000. Idadi yao ilikuwa kubwa kati ya wakazi wa Yerusalem katika zama zote. Walipungua kutokana na kukabiliwa na kufukuzwa mara kwa mara na tawala za wakazi wa kigeni (Wazungu na Waarabu) katika ardhi hiyo lakini...
  20. Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…