familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Familia yataja sababu za kifo cha Hakimu Juma

    Dada wa aliyekuwa Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Juma Hassan Kasailo ametaja sababu ya kifo chake. Hassan alifariki ghafla siku ya Ijumaa, ambapo kifo chake kilithibitiswa na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Ilvin Mugeta. Kabla ya kuthibitishwa, taarifa za kifo cha...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    Wadau nawasalimu, Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu, Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka saba. Huku nje familia yake ilishindwa kumudu kodi ya nyumba baada ya kodi aliyolipa jamaa kuisha...
  3. JamiiForums Tanzania Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

    Habari za jioni wanajf, Waungwana naandika Uzi huu nikiwa na uchungu mwingi sana, na nisijue chakufanya. Iko hivi; Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa upande wangu Nina mke na watoto wawili. Kwa wiki kadhaa nipo mkoa tofauti na familia yangu, na Leo...
  4. JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

    Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini baba yake Jakaya Kikwete alimtia moyo. Tofauti na watuhumiwa wengine waliohojiwa kuhusu matumizi na...
  5. JamiiForums Tanzania Kurithisha biashara za familia / family business succession

    KURITHISHA BIASHARA/FAMILIY BUSINESS Famiily business imetapakaa sehemu nyingi sana dunianikuanzia Marekani, Ulaya, Asia na Africa, na kampuni nyingi sana kubwa dunani nyingi ni za familia zinamilikiwa na familia pamoja na kwamba zinakuwa na watuwengine nje ya familia Hapa chini ni moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…