familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwl. Nyerere aliwezaje kuwazuia Wanafamilia yake kutoingilia mifumo ya utawala wake?

    Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa...
  2. Kuna watu mnasababisha mikosi kwenye ndoa na familia

    Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika! Naomba usome hiki kisa👇👇👇👇 Wamama nimekuta sms mchepuko anamtumia mume wangu nanukuu, "Baby vipi...
  3. Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

    Tushirikishane bajeti yako hasa nyakati hizi ambazo bidhaa muhimu kama nafaka zilivyopanda bei. Je, wewe kwenye familia yako bajeti kwa siku ni shilingi ngapi?
  4. Uzinzi unavyogharimu mipango ya familia nyingi

    Na Christian Bwaya Ninapata chai ya jioni na Injinia. Jamaa kafanikiwa. Maisha yake yanaongea na kuhamasisha wengi. Jamaa anaheshimika na kanipa heshima ya kikao. Simu zimeachwa yatima mezani kwa takribani saa mbili zilizopita. Injinia anaomba kutoka akateme mate kidogo. Namruhusu...
  5. Tundu Lissu kwa weledi na ujasiri alionao angekuwepo Tanzania angezitetea familia za ndugu waliouawa na polisi huko Serengeti na haki ingepatikana

    Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu. Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu. Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu...
  6. Familia isiyokuwa na mwanaume (baba) huwa inapwaya.

    Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi. Kwa wale ambao hawaishi na wanaume, wanalijua vizuri gepu lililopo hasa pale mwanaume asipokuwa katika maisha yao. Ndio maana...
  7. Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  8. Changua kuambatana na familia au mwanamke unayetaka kumuoa

    Hatimaye kijana wetu amaeamua kuchangua familia dhidi ya mwanake aliyetaka kumuoa. Mwingine alikengeuka lakini kilichotokea hadi leo anajuta. Kijana wetu huyu wa kwanza ana miaka 26, yeye alikuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ana watoto 2 kila mmoja na baba yake. Kijana kamaliza shahada yake...
  9. Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  10. J

    Hatimaye familia ya Mama Amina Mohamed Mughenyi yapokea hundi ya fidia shanta

    HATIMAE FAMILIA YA MAMA AMINA MOHAMED MUGHENYI YAPOKEA HUNDI YA FIDIA SHANTA Familia ya Mama amina mohamed mghenyi wa kitongoji cha taru kijiji cha Mang'onyi kata Mang'onyi jimbo la singida mashariki wamefikia muafa na ofisi ya Mkuu wa wilaya kwa kuridhia kupokea hundi ya fedha ikiwa ni fidia...
  11. Umeandika Wosia kwa familia na ndugu zako au kila mtu atajijua huko mbele?

    Migogoro mingi ya mirathi kwenye familia hutokea pindi mhusika anapofariki dunia, huku akiwa hajaacha wosia. Wosia ni maandishi au kauli inayoachwa na mtu anapokuwa hai ni namna gani angependa mali zake zigawanywe kwa warithi wake pindi atakapofariki dunia. Kuna aina mbili za wosia ikiwemo wa...
  12. Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  13. A

    SoC02 Malezi bora kwa familia zetu

    Familia ni muunganiko wa baba mama na watoto lakini inaweza kuwa familia ya mzazi mmoja au ya namna nyingine, familia nyingi za kitanzania huhusisha ndugu mchanganyiko kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya kazi. Malezi ni kitendo cha kulea lakini malezi bora ni kitendo cha kulea katika...
  14. Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

    Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake. Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea...
  15. R

    Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

    Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika. Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
  16. K

    SoC02 Mfumo wa utoaji huduma za afya uanzie kwenye ngazi ya familia ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ambukizwa

    Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani, Magonjwa ya Akili, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Moyo mfano shinikizo la damu na kiharusi. Kutokana...
  17. Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

    Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
  18. SoC02 Fikra sahihi na tamaduni hii mpya itainua uchumi wa familia na taifa letu kwa ujumla

    Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
  19. Familia ya Kifalme wa Uingereza; Ni nani wana familia ya kifalme?

    Nyumba ya Windsor kama tunavyoijua leo ilianza mnamo 1917 wakati familia hiyo ilipobadilisha jina lake kutoka kwa Kijerumani "Saxe-Coburg-Gotha." Babu wa Malkia Elizabeth, Mfalme George V, alikuwa mfalme wa kwanza wa Windsor, na wafalme wanaofanya kazi leo ni wazao wa Mfalme George na mkewe...
  20. Kanye West: 'Nina uraibu wa ponografia na iliharibu familia yangu'

    Rapa Kanye West amefichua jinsi uraibu wake wa ponografia ulivyoharibu familia yake. Bilionea huyo amethibitsha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram Chapisho hilo linasemekana kumrejelea mama mkwe wake wa zamani, Kris Jenner - ambaye anamsimamia Kylie na mke wake wa zamani, Kim Kardashian...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…