salamu ndugu zangu..!?
al masry kwa nilivyowaona wanacheza mchezo mzuri wa fair play.
katika mchezo uliopita pengine unaweza kusema walikuwa na uhitaji wa magori mengi lakini hili nakataa nakataa kwasababu wao hawakuwa wamiliki wa mpira tena kwa yale mashambulizi ya simba ni wazi wangekuwa...