Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo...
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu.
Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe.
Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar.
He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
#MICHEZO Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori ameibuka tena baada ya RS Berkane kufuta chapisho lao ambalo walichapisha kuhusu kubadirishwa kwa uwanja.
Magori amesema anaendelea kuchunguza baadhi ya masuala yaliyotekea nyuma na ataripoti kila jambo ikihitajika kwa FIFA...
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.
Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo...
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..
Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options...
Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye...
Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda,
ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa lazima Simba ita Draw hata pia ikichezwa Zanzibar kwa majira hayo hayo ya saa kumi pia Simba ita...
Wengine tuna jicho la kuangalia mambo kwa umakini mkubwa na tunapotoka hadharani kusema kitu fulani kina uwezekano mkubwa wa kutokea tunakuwa tumeshajiridhisha.
Mara kwa mara nimekuja humu jukwaani nikasema kuna umakusudi unafanyika katika kukwamisha ukarabati wa pale uwanja wa Mkapa. Juzi juzi...
Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho...
Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania.
Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali.
“Baada ya...
1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi, ujuzi na mbinu za hali ya juu zilizopelekea gemu kwenda extra time.
2.Nimejifunza kuwa timu hata...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona.
Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya...
Leo ndio leo
Baada ya kuona kimya nikaona isiwe vibaya nianzishe
Leo mechi itakuwa uwanja wa bwawani sijui gombani
Kati ya timu tishio duniani ya dae es Salaam young afrika aka nyuma mwiko na timu tishio ukatanda wa afrika mashariki ya pwani na visiwani kote Jku
Mechi itakuwa ngumu sana hasa...
Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025.
Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255.
Utabiri wangu wa...
Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku akiwaombea ruhusa kwa naibu spika wabunge kadha kwenda nchini Morocco...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.