fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ad majorem

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania haikujiandaa kuwa mwenyeji wa fainali za Chan, 2025?

    Kwa Wananzengo wenzangu. Kama mnavyofahamu kipenga cha kufungua Michuano ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani maarufu kama CHAN kwa mwaka 2025, kinapulizwa leo kwenye ardhi ya Kambarage wa Butiama. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa fainali hizi. Lakini katika hali ya...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba hatujitaji kutumia nguvu nyongi kwenye huu usajili,tuna kikosi bora cha kwanza kutupeleka fainali Club Bingwa

    "Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Yanga Ikibeba Kombe Fainali Vs Singida Black Stars

    1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe tu.Wamecheza mpira mzuri na wengi tumeshangaa inakuwaje wanasajili wachezaji wazuri kuliko wa Simba...
  4. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
  5. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania 5Imba mnajifanya mna mgomo wa kutocheza tarehe 25 June, kumbuka hata Ikulu hatuwaita kwa kucheza fainali Shirikisho

    Naona simba wameanza kunenepa kwa kumfunga Kengold leo ila wakumbuke June 25 lazima amalize ligi na Yanga,Na akijichetua haitwi Ikulu kupongezwa kucheza fainali Shirikisho. GENTAMYCINE Mshana Jr
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aipongeza Simba SC kufika fainali CAFCC, asema jambo hilo si geni kwa Yanga na hawakufungwa kama Simba

    "Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake. Mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji na Rais wa heshima wa timu Mohamed...
  7. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita. "Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

    Hii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa. huku Yamal kule Ronald. Lineups _ Portugal substitutes N.semendo,A.silva,D.dalot,J.palhinha,G.ramos,D.jota,R.neves,J.felix....nk Manager : R.martinez Spain lineups, Substitutes; David raya,P.porro,D.vivian,Gavi,Isco,A.morata,P.cubarsi...nk...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unafungwaje 5 yai katika fainali ya UCL. Kweli inter kazingua sana🤣

  10. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania 🏀 FAINALI YA NBA 2025: Timu ZILIZODHARAUWA NDIYO ZINAENDA KUCHUANA! 😳🔥

    Wadau wa NBA hebu tukae sawa... Kama kuna somo msimu huu tumejifunza, ni kwamba "heshimu kila timu, hata kama ESPN haijawapa nafasi." ✅ Oklahoma City Thunder ✅ Indiana Pacers Kiukweli kabisa – hizi si zile "superteams" zilizopigiwa chapuo preseason kama Boston Celtics, Milwaukee Bucks...
  11. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa fainali UEFA, tiketi Moja ni Milioni 14 za kitanzania, bei ya chini kabisa, ila bongo elfu 5 tu mnalialia.

    Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂 Anyway kila...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CAFCC 2025 ilikua ni baina ya Simba vs CAF.

    Moja Kwa moja kwenye pointi. Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF, Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco, Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF, Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA. Rais wa CAF...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunatakiwa kuwa na Marefa MAKINI kama yule wa fainali ya Caf - Zanzibar

    Refa yule yupo Makini sana na ni mtu wa haki. Marefa wetu mjifunze
  15. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Football business, Simba imepata hasara kubwa kufikia fainali shirikisho kuliko isingeshiriki kabisa

    Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna...
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo timu pekee kuwahi kucheza fainali CAF uwanja wa Mkapa, Kwa maana nyingine uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ajili ya Yanga

    Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu. Vinginevyo kaa kimya. FT aggregate 1:3 😀
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee la fainali ya CAFCC lililonifurahisha

    Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha. Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho mzuri wa story ya Simba katika mashindano haya. Mutale alianza msimu vibaya na mimi ni mmoja wa watu...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ya CAFCC ikiwa ugenini

    Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini. Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi. Hili jambo...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi Alishuhudia Fainali, Simba ikatuaibisha, Mtoto wa Mzee Mwinyi ameshuhudia yaleyale

    Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo. Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa kwao kwenye fainali ambayo wao hulazimisha kuiita shirikisho. Shuhuda wa aibu hiyo alikuwa rais...
Back
Top Bottom