fahamu

  1. JamiiForums Tanzania Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  2. JamiiForums Tanzania Fahamu vitafunwa vya asili ambavyo vitakuweka mbali na magonjwa na kuongezeka uzito

    VITAFUNWA VYA ASILI Habari za wakati huu. Nimeamua kuja na mada hii baada ya kuulizwa na mdau na mpenzi wa tiba asili yakua " ni vipi vitafunwa vya asili ambavyo naweza kuvila hasa asubuhi? Baada ya kuulizwa swali hili nimeona niandike makala fupi juu ya vitafunwa hivyo ili wadau wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

    Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo...
  4. JamiiForums Tanzania FAHAMU KABILA LA BAJAU

    Kabila la Bajau ni kundi la watu wa asili wanaoishi zaidi Kusini Mashariki mwa Asia ya Baharini, wakipatikana sehemu za Ufilipino, Malaysia, Indonesia, na Brunei. Wanaishi maisha yanayohusiana sana na bahari, na wanajulikana sana kwa uwezo wao wa ajabu wa kupiga mbizi na tamaduni zao za kipekee...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous, and it’s probably inside your laptop right now. 👇 Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani tofauti kati ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja kati ya Marekani na Tanzania

    Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake. Tukianza na nchi ya Marekani Per Capital Income ya USA kwa mwaka 2023/2024 GDP ya USA: = 25.5 Dola trilioni Idadi...
  7. I

    JamiiForums Tanzania FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO?

    FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO? 🔎 1. IP Address ni Nini? IP (Internet Protocol) Address ni anwani ya kipekee ya nambari inayotambulisha kifaa chako kwenye mtandao—iwe ni simu, kompyuta, TV ya kisasa, au printer. Ni sawa na anuani ya nyumba: bila hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Polonium-210

    Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium. Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210. Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani vita kati ya CHADEMA vs CCM

    Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

    Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza; 🎤Nini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza 🎤Pombe imegawanyika katika makundi yapi 🎤Ipi...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu tofauti kati ya mizigo(luggage) na kifurushi (parcel) ukisafiri na SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi wa aina gani ya mizigo abiria anayoruhusiwa kusafiri nayo katika mabehewa ya abiria ya SGR. Akitolea ufafanuzi huo Aprili 12, 2025 katika stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam, meneja wa Treni za abiria wa TRC Bw. Ringo Mboma...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada daktari bingwa wa mishipa ya fahamu na ubongo MOI

    Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  14. JamiiForums Tanzania FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILES

    CERAMIC TILE FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILE Na Ochoa Home Decor NI ZIPI CERAMIC TILE? Ceramic tile ni zile tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 6.9 na kuendelea (6.9%...) Hizi zimetengenezwa kwa material mepesi zaidi... AINA ZA CERAMIC TILE. Kunaaina mbili za Ceramic tile...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Je Unafahamu mfanyakazi wako anakucost Sh ngapi? Fahamu hapa

    Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi. Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au NSSF wakitia timu machozi yanaanza. Wanafanyakazi wengi kwenye negotiation za mshahara anataja tu...
  16. JamiiForums Tanzania Maombi ya shukurani na kujitabiria mazuri yanavyojibiwa haraka

    Habari wakuu, Bwana YESU atukuzwe na ufalme wake uje na mapenzi yake yatimizwe... Leo naomba niwape Siri iliyopo kwenye maombi ya Kushukuru na kujitabiria... Tumezoea Kushukuru kwa sadaka zaidi ila Leo naomba tujifunze maombi ya Kushukuru na kujitabiria... Maombi ya Kushukuru na kujitabiria...
  17. JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU IOT (INTERNET YA VITU) INTERNET OF THINGS.

    IoT: Teknolojia Inayounganisha Vitu na Maisha Yetu Katika dunia ya sasa inayozidi kushikiliwa na teknolojia, kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayobadilisha namna tunavyoishi, tunavyofanya kazi, na hata tunavyolima. Moja ya teknolojia zinazochukua nafasi kubwa kwa sasa ni IoT –...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu spare parts za magari kabla ya kununua pia unaweza kununua kwetu jerry spare parts and services

    Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu kadhaa badala ya elfu kadhaa, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare...
  19. JamiiForums Tanzania FAHAMU VYAKULA VITANO UKILA VINAONGEZA HAMU YA TENDO (Testosterone, Estrogen hormones booster).

    Habari zenu wapendwa, Naomba niwape Siri hii "fahamu vyakula ambayo ukivila vitakuongezea uzalishwaji wa testosterone hormone, estrogen levels na kuwa catalyst ya uzalishwaji wa hormones nyingine za uzazi kwa wanaume na wanawake. Hivyo kuwe kuondoa uwezekano wa upungufu wa nguvu wanazoziita za...
  20. JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

    Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…