facebook

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku amefuta post zote za Samia na CCM Instagram yake

    The national disgrace kubwajinga Mwijaku kafuta posti zote za mama na CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Facebook imeliwa kichwa bila VPN huoni kitu, CCM must go

    GT Haya mambo haya walizani tunatania kubabake sasa ni mwendo wa VPN Mpaka kieleweke Pia soma > GE2025 - Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  4. JamiiForums Tanzania Trab Trat ( Captain Tesha,) yupo Facebook

    Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings. Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia. Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Facebook mpaka wameondoa option ya kutafuta post na vipengele vya kuchuja ?

    Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za CCM Mbalizi mkoa wa Mbeya 2025-2030

    Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
  9. P

    JamiiForums Tanzania Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  10. P

    JamiiForums Tanzania Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa.

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  11. P

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Dodomaa inasimama na mgombea urais Dkt Samia Suluhu Hasan

    Nimekuwa na wakati mzuri pamoja na wakazi wa Dodoma tukielezana yale ambayo serikali yao imefanya kwa manufaa yao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, na mipango yetu kwao kwa miaka mitano ijayo, baada ya wao kutupa ridhaa kupitia Uchaguzi Mkuu 2025. Nimewashukuru kwa kuendelea kukiamini...
  13. JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  14. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Facebook kinara wa kuzalisha Taarifa Potofu nchini

    Kipindi cha Januari hadi Juni 2025 kimeonesha ongezeko kubwa la taarifa potofu, hususan zinazohusiana na siasa. Katika muda huu, JamiiCheck ilihakiki jumla ya madai 192, ambapo madai ya yasiyo ya Kweli yaliongoza kwa kuwa 128 sawa na asilimia 67 ya madai yote. Madai ya kupotosha yalifikia 42...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msiwe huru kupitiliza kupost "Anonymous" kwenye magroup ya facebook, Admins na Moderators bado wana uwezo wa kuwajua,

    nimeona watu wengi wakitumia njia ya anonymous kupost mambo ya siri au nyeti kwenye magroup ya Facebook, wakiamini kwamba hawawezi kutambulika. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa ukweli halisi kuhusu jinsi mfumo huu unavyofanya kazi. Kumbuka: Ingawa anonymous posts hazionyeshi jina lako kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Polepole: Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM

    https://www.facebook.com/share/v/1GoS18PVZh/ Updates Polepole Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM Hekima ingewaongoza viongozi wetu kuleta Tanzania pamoja katika kuelekea uchaguzi. Wagombea wa CCM kiti cha urais wamejilazimisha kuwa wa gombea wa CCM.
  17. JamiiForums Tanzania Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Facebook kinara wa Kauli za Chuki "Hate Speech" Mitandaoni

    Watu wawili kati ya watatu walisema wamekutana mara kwa mara na maneno ya chuki, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos kati ya Agosti 2022 na Septemba 2023. Utafiti huo ulihusisha jumla ya watu 8,000 kutoka nchi 16 zilizochaguliwa kwa sababu zilikuwa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Je unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) ?

    Kama unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) karibu nikusaidie kwa kuweka matangazo mtandaoni utawafikia watu wengi zaidi kupitia Facebook na Instagram kwa bajeti nafuu... Pia nitakuwa nasimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii. Gharama kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania Nipo nawasiliana na Wanasheria wangu , ninampango wa kwenda kuishitaki Serikali kwa kuifungia Facebook na kunisababishia hasara kubwa siku ya leo

    Wakuu , huu upumbavu hauvumiliki Jumatatu nategemea kufungua shauri mahakamani kwa ajili ya kuishitaki Serikali kwa kunisababishia hasara katika biashara zangu. Ushahidi ninao Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wajinga ambao hawajitambui wanafanya lolote wanalohitaji Sisi wafanyabiashara tunalipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…